Sheria ya kufananisha huonyesha jinsi sheria ya uchaguzi ilivyobuniwa kutoka kwa hali ngumu kwa asasi zilizokumbwa na migogoro. Hali ya inayojitokeza mara nyingi ni ile ya mpito kutoka kwa utawala wa kimabavu kuelekea kwa ya kidemokrasia kutokea. Katika hali kama hii, kuwekwa kwa sheria za uchaguzi ni muhimu ili kuhalalisha na kuidhibiti hali hiyo.
Tofauti kati ya hizi mbili lazima itolewe:
- Kubuniwa kwa sheria za uchaguzi inammanisha kuweka sheria mpya kabisa kwa nchi iliyopata mabadiliko ya kisiasa.
- Kubadilishwa kwa sheria za uchaguzi kunarejelea mabadiliko ya sheria za uchguzi ambazo hazimaanishi mabadiliko makuu ya kisiasa. Mabadiliko ya sheria za uchaguzi hayaenei sana kama kubuniwa kwa sheria za uchaguzi unaweza kuwa. Licha ya hayo, inaweza kuonyesha mabadiliko muhimu kwa mfumo wa uchaguzi mradi kuwepo kwa kwa vyama vya kisiasa na kanuni za kimsingi kama haki ya kupiga kura, haki ya kupigiwa kura, kuwepo kwa vyama vya kisiasa na usimamizi wa uchaguzi kuzuia mabadiliko makuu ya kisiasa.
Tofauti kati ya kubuniwa na kurekebishwa kwa sheria za uchaguzi zinazotegemea zababu za kipragmatiki kulingana na taratibu zilizoanzishwa.
- Marekebisho ya kiuchaguzi yanaweza kufanywa hatua kwa hatua.Wakala wa kisiasa na vionnngozi wa kisiasa na yanaweza kuzingatiwa katika taratibu za mabadiliko.
- Kubuniwa kwa sheria za uchaguzi kunaweza kuchukuliwa kama kinyume. Kwa kawaida kuwekwa kwa sheria mpya za uchaguzi lazima zifanywe kwa haraka. Tunazungumzia kesi za dharura ambazo uhalisi wake lazima udhibitishwe na serikali mpya zishike doria.