Nchi yoyote inayopitia mabadiliko ya kidemokrasia lazima ikuze mbinu kivyake. Mbinu kama hizi zinaweza kufuata njia moja kati ya mbili zilizoko. Katika njia ya kwanza umuhimu wa sheria ya kwanza hutathminiwa na athari za njia hii katika mfumo wa uchaguzi. Vyama vya kisiasa hujadili mapendekezo ili kufikia uelewano mzuri.
Kwa matazamo wa ulinganifu, inaweza kusemekana kuwa kesi zilizofaulu zaidi ni zile ambazo tume ya vyama vingi imepewa mamlaka ya kuzua sheria mpya. Makubaliano ya watu wengi huwezesha njia inayopendekezwa kuanza taratibu za uchaguzi na mpito wa kidemokrasia.
Hata hivyo, tunaelewa kuwa chaguo hili lina upungufu fulani kutokana na chaguzi za mwanzo baada ya mapinduzi au mabadiliko katika uongozi. Upungufu kama huo unapaswa kujadiliwa:
- Kwanza njia hii inachangia kupanua mamlaka ya viongozi wanaosimamia. Upanuzi kama huo hauwezi kuwa mzuri na husababisha madhara mabaya. Inaweza kupanua mamlaka ya viongozi na kuathirika kwa kuaminika kwao na utenda kazi na utawala mpya.
- Pili sheria mpya inaweza kuzua taswira ama mtazamo. Mtazamo huo unaweza kuonekana kama tukio la mara kwa mara katika kipindi hicho kwa kuwa vyama vya kisiasa vilivyochukua nafasi ya muhimu katika kuzua sheria mpya hawapati nafasi muhimu katika kuzua sheria mpya, hawapati nafasi muhimu katika utawala mpya kwa kawaida. Hivyo basi sheria ya uchaguzi zinazotokana na utaratibu hukosa uwakilishi wa kweli.
Pili, njia ya pili iliyoko inaweza kuwa kubuni mbinu iliyonuiwa kufupisha taratibu za kisheria. Katika hali kama hii serikali mara nyingi huamua kurekebisha sheria zilizoko. Wataalamu huidhinisha nafasi ya kushughulikia suala hilo kwa kutumia usaidizi wa kimataifa. Licha ya hayo mbinu hii huwa na upungufu:
- Kwa upande mmoja mradi masuala mengi ya muhimu ya utawala wa kale yatahifadhiwa, marekebisho ya kisheria yanaweza kuwa si ya kutosheleza ama kutegemewa.
- Kwa upande mwingine, sheria za uchaguzi hazirekabishwi kwa uraahisi. Ni rahisi kurekebisha sheria kwa undani.
Kwa kurejelea haya yote, mbinu ya tatu inaweza kutaliiwa kama ifuatavyo:
- Tunazungumzia mbinu sanisi ambazo serikali huweka kanuni zinazonuia kudhibiti kufanyika kwa uchaguzi. Kanuni kama hizi huwalaumu bunge iliyochaguliwa kuzua sheria za uchaguzi.
- Hatimaye, tunaweza kuzungumzia taratibu ya polepole na inayoendelea kwa maeneo kadhaa. Taratibu kama hii inanuia mpito wa kiuchaguzi na hufanyika kupitia uchaguzi kadhaa ambazo kwa taratibu huleta sifa nyingi zinazojitokeza katika sheria.
Mbinu za polepole zinatokana kwa mazungumzo ya kisheria na maafikiano kupatikana kati ya serikali na wachche na huweza kuwa wazi zaidi ama kidogo. Iwapo ni wazi basi ndivyo yalivyo ya kweli zaidi.