Kwa kawaida, uchaguzi huru na wa haki hauwezi kufanya bila ya kubakikisha kuwa matakwa yote ya kisheria yamewimizwa. Wasajili wa wapiga kura lazima waonekane kama orodha za wananchi wenye haki za kupiga kura. Hivyo basi wasajili wa uchaguzi ni muhimu katika mfumo wowote wa upagaji kura na kwa mfumo wowote wa uchaguzi wa kisheeira. Kwa kawaida matakwa yote ambayo lazima yatimizwe na wananchi huwekwa katika katiba. Sheria za uchaguzi lazima zidhibiti zipange na zirekebishe matakwa hayo (lazima yawe hayana ubaguzi). Taratibu zote zinazohusiana na usajili wa wapiga kura lazima ziwe za kutosheleza na kuhusisha shauku yoyote katika mfumo ama taratibu kunaweza kuharibu matokeo ya uchaguzi.
Kwa kuzingatia haya, wasajili wa wapigakura huwapa hakika na ulinzi na wana jukumu kuu katika kuweka na kuimarisha utawala wa kidemokrasia, kwa sababu wao hupendekeza kujumuika zaidi kwa wananchi katika taratibu za uchaguzi. Kuna maendeleo ili kupata njia bora zaidi za kuunda rejista (ya wapigakura kutoka kwa mtazamo wa kiufundi. Mbinu kama hii lazima iimarishwe na halmashauri za kusimamia uchaguzi na vyama vya siasa wanaofanya kazi kwa pamoja ili kuwahusisha wananchi katika kampeni za kuwajulisha wote.
Hata hivyo, rejista ya wapigakura si muhimu tu bali pia ni ghali sana. Usajili wa wapigakura na kutolewa kwa habari za wapigakura hutumia asilimia hamsini ya bajeti ya uchaguzi. Kuna vitu vingi vinavyoahiri bajeti miongoni mwao ikiwa ni mfumo upi unatumiwa kuwasajili wapiga kura, mpangilio wa uchaguzi, uwezo wa kiusimamizi wa halmashauri za kusimamia uchaguzi, na hali za kijamii, kiuchumi na idadi za watu katika kila nchi zinachangia katika kupata uwiano kati ya pesa zitakazotumiwa na utendakazi wa kuwasajili wapigakura.
Ili kufikia malengo kama hayo, kuna aina mbalimbali za wasajili wa wapigakura. Wanaweza kuwekwa katika makundi pindi maswali kama yafuatayo yakishajibiwa: Je, upigaji kura ni lazima? Ni aina gani ya halmashauri ya kusimamia uchaguzi kiongozi yupi wa uchaguzi anayesimama? Viongozi hawa wanaweza kuwa wa lazima, wa kujitolea, wa eneo kati, wa maeneo tofauti, wa muda mrefu, wa muda mfupi, huru au wanaotegemea viongozi wenye mamlaka zaidi wanaosimamia kuwepo kwa wasajili hawa na mabadiliko. Miongoni mwa viongozi hawa wenye mamlaka tunapata wasimamizi wa uchaguzi, wasajili wa idadi ya watu, wasaili wa raia na kadhalika. Wasajili hao wamedekezwa zaidi chini ya mada; Fasili za mbinu za usajili wa wapigakura.