Skip to content. | Skip to navigation
Sehemu hii inahoji uzuri na ubaya wa mifumo mbalimbali ya usajili wa wapigakura, ikiwemo nitatu hii:
Hakuna mfumo wowote wa kusajili wapigakura unaoafiki nchi na hali zote. Ni muhimu kuchagua mfumo unaoafiki mazingira au muktadha ambamo mfumo huo utatekelezwa.
Sehemu hiyo pia inajadili kuhusu maswala nyeti yanayozuka katika kusimamia mifumo ya usajili wa wapigakura. Haya ni pamoja na:
© 1998-2025 ACE project