Skip to content. | Skip to navigation
Katika nchi nyingi watu huishi katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, ambayo kila mojawapo linaweza kufanya uchaguzi. Kwa mfano, mtu anaweza kuishi katika eneo fulani linalosimamiwa na baraza la mji, halmashauri ya kaunti au ya kieneo, mamlaka ya uongozi wa mikoa au serikali, mamlaka ya kitaifa na katika visa vingine hata mamlaka maalumu za kimataifa.
Ili kutekeleza uchaguzi, kila eneo halina budi kuwa na orodha yake ya wapigakura stahifu. Si bora kwa kila eneo la usimamizi kuunda na kutunza orodha yake tofauti; kufanya hivi kunaweza kutahusisha kupoteza wakati mwingi kufanya kazi ambayo tayari itakuwa ishafanywa, ingawa maeneo mengine ya usimamizi huendelea na kufanya hivyo licha ya haya. Hata hivyo, kwa hakika halmashauri za kusimamia uchaguzi zilizo katika maeneo yaliyo na sehemu nyingi za usimamizi huwa na viteuzi vya kuzingatia:
© 1998-2025 ACE project