Skip to content. | Skip to navigation
Katika visa vingi, halmashauri ya kusimamia uchaguzi hutundika nyenzo za usajili wa wapigakura kwenye tovuti yake. Inaweza kuchagua mojawapo katika vibadala mbalimbali vya usajili wa mtandaoni – yaani, kutoa nyenzo hizo za usajili kielektroniki. Miongoni mwa vibadala hivi ni:
© 1998-2025 ACE project