ACE Maarifa Rasilimali —
face

ACE Maarifa Rasilimali

ACE Ni nini?

ACE ni mtandao wa maarifa ya uchaguzi na ni rasilimali ya kwanza duniani ya aina pekee katika sekta ya uchaguzi; pia, ni hazina kubwa duniani katika maarifa ya uchaguzi. Vilevile ina zaidi ya kurasa 10,000 za maelezo ya ufadhili maalumu ya kitaifa na kimataifa kuhusu matukio na kalenda ya uchaguzi. Habari hizi zinapatikana kupitia kwenye huu mtandao kutoka kwa watalaamu wa mambo ya uchaguzi, na zinapatikana kwenye tovuti yake katika lugha za Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kihisipania, na sasa kwa lugha ya Kiswahili.

 

Rasilimali Maarifa ya ACE

Mtandao wa maarifa ya uchaguzi-ACE uliundwa kwa kutoa majibu kuhusu maswala au changamoto kwenye mambo ya uchaguzi. Encyclopedia ya ACE ina maeneo mada 13 zinazo zungumzia swala zima la uchaguzi kwa kikamilifu. Hata zile mada mtambuka ambazo hazija zungumziwa kikamilifu zinapatikana katika mfululizo wa ACE: ”Focus On...”

Sasa mada 5 zifuatazo zinapatikana katika ka lugha ya Kiswahili:

Document Actions