Mchakato ambao mfumo wa uchaguzi, hupitia, hupangwa na hubadilishiwa huwa na athari kubwa kwenye aina ya mfumo utakaotolewa na umuhimu wake katika hali ya kisiasa, na kiwango cha uhalali na ufuasi wa wengi utakaopata hatimaye.
Mifumo ya uchuguzi kwa nadra sana hupangwa bila kuzingatia masuala muhimu. Hata juhudi za kupanga huko Afghanistan na Iraq za huwa na historia ya vyama vingi vilivyopewa umuhimu vya kutolewa mfano (ingawa ulitumika awali kidogo na kutoa mwangaza kidogo kuhusu ni kipi kitakachotumika baadaye). Baadhi ya maswali muhimu kuhusu mpango wa mfumo wa uchuguzi ni;
- Ni nani hupanga? Yaani ni nani huhusika katika kuweka mabadiliko ya mfumo wa uchuguzi kuwa agenda ya kisiasa, na ni wajibu wa nani wa kuchora mfumo mpya uliopendekezwa au uliorekebishwa na kupitia mchakato wa aina gani?
- Ni mikakati ipi inayowekwa kwenye muundo wa kisiasa na kisheria ili kuleta mabadiliko na marekebisho?
- Ni mchakato upi wa mijadala na mazungumzo ulio muhimu katika kuhakikisha kuwa mfumo mpya uliopendekzwa au uliorekebishwa umekubalika kama halali? Baada ya mabadiliko kuamuliwa, yanarekebishwa namna gani?
Mada ndogo za sura hii:
- Ni nani hupanga?
- Mikakati ya mabadiliko na marekebisho ni ipi?
- Ushauri kuhusu mijadala na mazungumzo
- Ushauri kuhusu utekelezaji
- Ukadiriaji wa athari za mabadiliko.
- Mikondo katika mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

