Kunayo idadi kubwa ya miundo ya uchaguzi inayotofautiana lakini kimsingi inaweza kugawanywa katika mifumo mikuu 12, mingi ikiwa katika kategoria tatu kuu. Njia ya kawaida ya kutazama mifumo ya uchaguzi ni kuiweka katika makundi kulingana na mahusiano yake katika kufasiri kura za kitaifa zilizoshindwa kuwa viti vya ubunge vilivyoshindwa , jinsi zinavyosawasishwa. Ili kufanya hili unahitaji kuangalia uhusiano kati ya kura zilizoharibika. Tukizingatia kanuni ya usawazishaji, pamoja na mawazo mengine kama idadi ya wanachama waliochaguliwa katika kila wilaya na idadi ya kura kila mpigaji kura anazo, tunasalia na muundo wa kundi /familia kama ilivyo katika kielelezo 1.
Kielelezo cha Kwanza: Jamii za Mifumo ya Uchaguzi.

Kwa mfano, Afrika Kusini ilitumia mfumo wa hali ya juu uliosawazishwa katika uchaguzi wake wa mwaka wa 2004, na kutokana na asilimia 69.69 ya kura ya wengi , African National Congress (ANC) walishinda asilimia 69.75 ya viti vya kitaifa . Mfumo wa uchaguzi ulikuwa na usawazishaji wa juu, na idadi ya kura zilizoharibika (yaani kura zilizopigwa na vyama ambavyo havikushinda viti bungeni) ilikuwa asilimia 0.74 pekee ya idadi yote. Kwa kilinganisha moja kwa moja katika mwaka wa 2000 huko Mongolia , mfumo wa awamu mbili (two round system) uliohitaji asilimia 25 ya wengi kutokana na kura za wagombeaji waliohitaji kuchaguliwa ulizalisha Mongolian People‘s Revolutionary Party (MPRP) huku chama hicho kikishinda viti 72 kwenye bunge la wanachama 76 na wakiwa na asilimia 52 ya kura za wengi.
Hata hivyo, pakiwa na hali kama hizi, mifumo ya uchaguzi isiyosawazishwa (kama vile FPTP) huweza kuzalisha matokeo ya jumla yaliyo na usawa kisiasa, kama vile, wakati ufuasi wa chama unapatikana katika maeneo yenye utawala mmoja . Hali kama hii ilikuwa huko Afrika kusini, Malawi mwaka wa 2004. Katika uchaguzi huo, chama cha Malawian Congress kilishinda asilimia 25 ya kura, na chama cha Alliance for Democracy kikishinda asilimia 3 ya viti ikiwa ni chini ya asilimia 4 ya kura.
Kiwango cha jumla cha usawazishaji kilikuwa juu, lakini uwezekano ni kwamba huu haukuwa mfumo uliosawa, na hivyo hauwezi kuorodheshwa kama mmoja, na kwamba kura zilizoharibika zilikuwa karibu nusu ya kura zote zilizopigwa.
Hata hivyo, baadhi ya masiala ya mpango hutilia mkazo ukosefu wa usawa. Mifumo yenye kiwango cha juu cha udhaifu wa mgao huwa na matokeo yasiyo sawa, kama ilivyo mifumo iliyosawazishwa yenye kiwango cha juu ambacho matokeo yake yanaweza kuwa kiwango cha juu cha kura zilizoharibika, kama nchini Turkey mwaka wa 2002 , ambapo asilimia 10 ya kiwango cha juu ilikuwa na asilimia 46 ya kura zilizoharibika.
Kielezo cha pili: Jamii za Mifumo ya Uchaguzi
1. Iidadi ya nchi na maeneo

Mada ndogo za sura hii:
- Mifumo Yenye Wafuasi Wengi
- Uwakilishaji Uliosawazishwa (PR)
- Mifumo Mingine ya Uchaguzi
- Safu za Mfumo wa Uchaguzi na Mifumo Mahuluti(Hybrid)
- Mambo ya Kuzingatiwa Katika Uwakilishaji


Direct Party and Representative Voting (DPR)
Direct Party and Representative Voting (DPR)
1 One vote for a party to form the government.
2 One vote for the Constituency MP. (FPTP)
on one ballot paper.
In Parliament, one MP one vote is ditched. Each MP exercises a fractional vote. Each MP of a party with 40% support in the ‘Government’ vote but 50% of the MPs, gets a vote value 0.8 Independents have a vote value of one.
Free Votes - all MPs have one vote
Swipe card voting makes it simple.
The Government has precise proportional support, not in MPs but in votes.
Every vote counts towards the Government’s strength.
Easy to vote, count, and understand.
No voter dilemma. Vote for your party and your preferred candidate.
Barriers to new parties remain.
Easier for exceptional individuals or independents to get elected.
DPR is a voting system that delivers PR, has the simplicity of FPTP, maintains the single member constituency, makes it easier for Independent Candidates to get elected, requires little change to the existing voting system, and has no serious disadvantages.