Kunayo idadi kubwa ya miundo ya uchaguzi inayotofautiana lakini kimsingi inaweza kugawanywa katika mifumo mikuu 12, mingi ikiwa katika kategoria tatu kuu. Njia ya kawaida ya kutazama mifumo ya uchaguzi ni kuiweka katika makundi kulingana na mahusiano yake  katika kufasiri kura za kitaifa zilizoshindwa kuwa viti vya  ubunge vilivyoshindwa , jinsi zinavyosawasishwa. Ili kufanya  hili unahitaji  kuangalia  uhusiano kati ya  kura  zilizoharibika. Tukizingatia  kanuni ya  usawazishaji, pamoja  na  mawazo  mengine kama idadi ya  wanachama waliochaguliwa  katika  kila  wilaya na idadi ya kura kila mpigaji kura  anazo, tunasalia na muundo wa  kundi /familia  kama  ilivyo katika kielelezo 1.
 
Kielelezo cha Kwanza: Jamii za Mifumo ya Uchaguzi.
 
 
Kwa  mfano, Afrika  Kusini ilitumia mfumo wa hali ya juu uliosawazishwa  katika uchaguzi wake  wa mwaka wa 2004, na kutokana  na  asilimia  69.69 ya kura  ya wengi , African National Congress (ANC) walishinda  asilimia 69.75 ya  viti  vya kitaifa . Mfumo wa uchaguzi  ulikuwa  na  usawazishaji wa juu, na  idadi ya kura  zilizoharibika (yaani kura  zilizopigwa  na vyama ambavyo  havikushinda viti bungeni) ilikuwa asilimia  0.74 pekee  ya idadi yote. Kwa kilinganisha moja kwa moja  katika  mwaka  wa 2000 huko Mongolia , mfumo wa awamu mbili (two round system) uliohitaji asilimia 25 ya  wengi kutokana  na kura za  wagombeaji waliohitaji kuchaguliwa  ulizalisha Mongolian People‘s Revolutionary  Party (MPRP) huku  chama hicho kikishinda  viti 72 kwenye  bunge  la  wanachama 76 na  wakiwa  na  asilimia 52 ya kura za wengi.
 
Hata hivyo, pakiwa na hali kama hizi, mifumo ya uchaguzi isiyosawazishwa (kama vile FPTP) huweza kuzalisha matokeo ya jumla yaliyo na  usawa  kisiasa, kama  vile, wakati ufuasi wa chama  unapatikana  katika maeneo yenye utawala mmoja . Hali kama hii ilikuwa huko Afrika kusini, Malawi mwaka wa 2004. Katika uchaguzi huo, chama cha Malawian Congress kilishinda asilimia 25 ya kura, na chama cha Alliance for Democracy kikishinda asilimia 3 ya viti ikiwa ni chini ya asilimia 4 ya kura.
 
Kiwango cha  jumla cha usawazishaji  kilikuwa juu, lakini  uwezekano  ni kwamba  huu haukuwa  mfumo uliosawa, na hivyo hauwezi  kuorodheshwa kama mmoja, na kwamba kura zilizoharibika zilikuwa karibu nusu ya  kura  zote  zilizopigwa.
Hata hivyo, baadhi ya masiala ya mpango hutilia mkazo ukosefu wa usawa.  Mifumo yenye kiwango cha juu cha  udhaifu wa mgao huwa  na  matokeo yasiyo sawa, kama ilivyo mifumo iliyosawazishwa  yenye kiwango cha juu ambacho matokeo yake  yanaweza kuwa  kiwango cha  juu cha kura  zilizoharibika, kama nchini Turkey mwaka  wa 2002 , ambapo asilimia 10 ya kiwango cha juu ilikuwa  na  asilimia  46 ya kura  zilizoharibika.
 
 Kielezo cha pili: Jamii za Mifumo ya Uchaguzi
1.    Iidadi ya  nchi na  maeneo
 

 
Mada ndogo za sura hii:
 
- Mifumo Yenye Wafuasi Wengi
- Uwakilishaji Uliosawazishwa (PR)
- Mifumo Mingine ya Uchaguzi
- Safu za Mfumo wa Uchaguzi na Mifumo Mahuluti(Hybrid)
- Mambo ya Kuzingatiwa Katika Uwakilishaji
  
 

 
Direct Party and Representative Voting (DPR)
Direct Party and Representative Voting (DPR)
1 One vote for a party to form the government.
2 One vote for the Constituency MP. (FPTP)
on one ballot paper.
In Parliament, one MP one vote is ditched. Each MP exercises a fractional vote. Each MP of a party with 40% support in the ‘Government’ vote but 50% of the MPs, gets a vote value 0.8 Independents have a vote value of one.
Free Votes - all MPs have one vote
Swipe card voting makes it simple.
The Government has precise proportional support, not in MPs but in votes.
Every vote counts towards the Government’s strength.
Easy to vote, count, and understand.
No voter dilemma. Vote for your party and your preferred candidate.
Barriers to new parties remain.
Easier for exceptional individuals or independents to get elected.
DPR is a voting system that delivers PR, has the simplicity of FPTP, maintains the single member constituency, makes it easier for Independent Candidates to get elected, requires little change to the existing voting system, and has no serious disadvantages.