Mfumo huo uko wazi au unaeleweka?
Muktadha umezingatiwa?
Mfumo huo unafaa kwa wakati huo?
Mikakati ya mabadiliko ya siku zijazo iko wazi?
Mfumo huo unaepuka kupuuza wapigaji kura?
Mfumo huo ni jumuishi inavyowezekana?
Mchakato wa upangaji ulichukuliwa kuwa halali?
Matokeo ya uchaguzi yataonekana kuwa halali?
Mambo ya dharula yasiyo ya kawaida yatazingatiwa?
Mfumo huo una uwezo wa kifedha na kiuongozi?
Wapigaji kura watakuwa na motisha wa kushiriki?
Mfumo wa chama cha ushindani utahimizwa?
Mfumo huo unaendana na muundo kamili wa kikatiba?
Mfumo huo utasaidia kupunguza vurugu au utaifanya iongezeke?

