Kwa jumla, shirika la kisiasa ni msimamo wa kiasasi kuhusu wazo la mtu, au msimamo wa watu wa kuwa na nia ya kisiasa ya makundi fulani ya kijamii. Wazo kama hilo huhusiana na masuala fulani ya umma yaliyo na mvuto kwa watu wengi na yanayoweza kuathiri siasa na serikali.
Kila shirika la kisiasa hutokana na uhalisia na huelezwa kupitia kwa mbinu za maoni ya mtu binafsi na yale yasiyo na ubaguzi. Mada za kimuundo zinaweza kuonekana kama mbinu za kibinafsi ilhali uhalisia wa kawaida hueleweka vilevile kama vyombo, na vinaweza kuonekana kama zisizo za kibaguzi.
Nyenzo zisizoegemea upande wowote huwa na wajibu muhimu wa kutekeleza ili kujenga mfumo wa kisheria. Mbinu hizo zitaathiri jamii husika almuradi zinatambuliwa na umma, kudhibitiwa, na kufadhiliwa.
Msingi wa mashirika ya kisiasa hutokana na kanuni mahsusi na kanuni za kijumla zinazonuia kuhakikisha kufikiwa kwa malengo ya kijumla kutokana na sheria ama uamuzi unaofanywa na mashirika hayo kivyao.
Kwa hakika, mashirika ya kisiasa hayana uwezo wa kuhakikisha kuwepo kwa muda kwao. Hii ndiyo sababu azma, Malengo, mamlaka na kuwepo kisheria lazima ziwekwe kisheria. Bila ya kuungwa kisheria kuwepo kwa mashirika ya kisiasa kunaweza kuwa si dhibiti ya kikalo na yasiyo na mpangilio bora.
Mbali na hayo mfumo wa kisheria lazima utambue kuwa kanuni za undani zinazotumiwa kwa mashirika ya kisiasa na yanaathiri muuda, uhusiano yaliyopo na umbali wa utendakazi, nidhamu na mada nyingine lazima ziwekwe na zitumiwe kwa wanachama wa shirika. Mfumo wa kisheria lazima utambue haki ya shirika kujibidiisha.
Utendakazi wa mashirika ya kisiasa lazima udhibitiwe na kanuni mahsusi yaani utendakazi kudhibitiwa na kanuni na taratibu kuwekwa zinazotokana na mfumo wa kisheria ambamo mashirika ya kisiasa kuwepo.
Mashirika ya kisiasa hayana chanzo sawa ama uhusika sawa. Mashirika ya kisiasa hayana malengo sawa. Hii ndiyo sababu taratibu za kisheria lazima zitofuatishe na kulinda matendo yao huru. Kwa yafwatayo (vyama vya kisiasa, miungano na mashirika mengine ya kisiasa) mashirika muhimu kabisa ya kisiasa ambayo ni lazima yahalalishwe kisheria, yataelezwa.