Skip to content. | Skip to navigation
Kanuni ya usimamizi mwafaka wa uchaguzi ni kwamba eneo la kituo ch kupigia kura halipaswi kufaidisha au kutatiza chama chochote cha kisiasa au kundi lolote. Zoezi la kusajili wapigakura linaweza kusaidia kuteua maeneo huru na yasiyo na misimamo ya kisiasa ya kuweka vituo vya kupigia kura. Zifuatazo ni njia ambamo usajili wa wapigakura unaweza kuathiri eneo la kupigia kura:
© 1998-2025 ACE project