Mchakato unaofaulu wa usajili wa wapigakura hutegemea mpango mzuri na uwezo wa kutekeleza mipango hiyo vilivyo. Mipango itatofautiana kutegemea aina ya orodha ambayo mamlaka hiyo hutumia – yaani, hutumia orodha za muda, rejista endelevu au sajili ya raia.