Skip to content. | Skip to navigation
Sehemu hii inaagazia majukumu sawa yanayopaswa kushughulikiwa katika mifumo yote ya usajili wa wapigakura, iwe kwa kutumia orodha ya muda, rejista endelevu au sajili ya raia. Inadokeza umuhimu wa kupanga mapema jinsi ya kukabiliana na changamoto zinazozuka katika kutengeneza mifumo ya usajili na kutambua baadhi ya matatizo yanayopatikana katika jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo. Miongoni mwa maswala yanayoangaziwa katika sehemu hii ni:
© 1998-2025 ACE project