Rasilimali Maarifa ya ACE
Mtandao wa maarifa ya uchaguzi-ACE uliundwa kwa kutoa majibu kuhusu
maswala au changamoto kwenye mambo ya uchaguzi. Encyclopedia ya ACE ina
maeneo mada 13 zinazo zungumzia swala zima la uchaguzi kwa kikamilifu.
Hata zile mada mtambuka ambazo hazija zungumziwa kikamilifu zinapatikana
katika mfululizo wa ACE: ”Focus On...”
Sasa mada 5 zifuatazo zinapatikana katika ka lugha ya Kiswahili: