Mifumo ya uchaguzi iliyochanganywa hujaribu kuweka pamoja sifa chanya za mifumo ya wafuasi wengi (au mwingine) na mifumo ya uchaguzi ya PR. Katika mfumo uliochanganywa huwa kuna mifumo miwili ya uchaguzi inayotumia fomula tofauti zikitumika kwa pamoja. Kura hupigwa na wapigaji kura walewale na huchangia katika uchaguzi wa wawakilishaji chini ya mifumo yote miwili. Mojawapo ya mifumo hiyo huwa ni mfumo wenye wafuasi wengi (au kawaida mfumo ‘mwingine’) kawaida ukiwa mfumo wa wilaya zenye uanachama mmoja, na mwingine ni mfumo wa List PR.
Kuna aina mbili za mfumo uliochanganywa wakati matokeo ya aina hizi mbili za uchaguzi huwekwa pamoja huku utoaji wa viti katika kiwango cha PR ukitegemea yanayofanyika katika viti vya wilaya zenye ufuasi mkubwa (au mwingine) na kufidia ikiwa patazuka ukosefu wowote wa Mixed Member Proportional (MMP). Pale ambapo seti hizi mbili za uchaguzi zitatenganishwa na katika upataji wa viti, mfumo huitwa Mfumo Sambamba (parallel system). Pale ambapo mfumo wa MMP unapotoa matokeo yaliyosawazishwa Mfumo Sambamba huweza kutoa matokeo yenye usawazishaji ambao huwa chini ya mahali kati ya mfumo wa wengi na ile ya mfumo wa PR.
Mfumo Sambamba na mfumo wa MMP imetumika kwa wingi katika demokrasia mpya barani Afrika na huko Soviet Union.

