Mifumo mitatu haina uhusiano wa moja kwa moja na kategoria ambazo zimeTajwa awali. Single Non- Transferable vote ni mfumo wa wilaya yenye uanachama zaidi ya mmoja, uliogemea upande wa mgombeaji ambapo wapigaji kura huwa na kura moja. Limited vote unafanana sana na mfumo wa SNTV lakini huwapa wapigaji kura zaidi ya kura moja, (hata hivyo tofauti na Block Vote , hakuna viti vingi vya kujazwa). Borda Count ni mfumo unaopendelewa katika wilaya zenye uanachama mmoja au zaidi ya mmoja.
Mifumo hii huelekea kufasiri kura zilizopigwa kuwa viti kupitia njia iliyoko kati ya mifumo ya PR iliyosawazishwa na matokeo ya mifumo yenye wafuasi wengi.

