Chini ya SNTV, kila mpigaji kura hupigia mgombeaji kura mmoja lakini (tofauti na FPTP) kuna zaidi ya kiti kimoja cha kujazwa katika kila wilaya ya uchaguzi. Wagombeaji wenye idadi ya juu ya kura hujaza nafasi hizi. SNTV huweza kupambana na vyama vya kisiasa kwa ukakamavu. Katika, kwa mfumo, wilaya zenye uanachama wa vyama vinne , mgombeaji aliye na zaidi ya asilimia 20 ya kura huhakikishiwa uchaguzi. Chama chenye asilimia 50 ya viti huweza kutarajia ushindi wa viti viwili katika wilaya za uanachama wa vyama vinne. Ikiwa kila mjombeaji atapata asilimia 25, hili liafanyika. Hata hivyo ikiwa mgombeaji mmoja atapata asilimia 40 na mwingine asilimia 10 mgombeaji wa pili huweza kukosa kuchaguliwa . ikiwa chama kitatoa wagombeaji watatu, hatari ya ‘uwagawanyaji wa kura’ huonyesha kuwa chama hakina uhakika hata wa kushinda viti viwili.

