Mpangilio wa shughuli za mafundisho uonyeshe kila hatua shughulia zitazosaidia kuafikia matarajio yaliyobainishwa. Somo linaweza kuchukua dakika arobaine au azimio la kufikia kila mtu na kumfanya aelewe sheria kuhusu upigaji kura na kumhimiza apige kura.
Somo linaweza kuwa kurasa chache zilizoandikwa au ark mbalimbali katika mikakati inayofungamanan na kutegemeana na kugawanya rasilmali ili kuafikia malengo ya kieelimu.
Muundo wa utaratibu
Panahitaji ubunifu mkubwa kuwazia taratibu pana na ndogo ili kuafikia malengo changamano.
Ili kufanya hivi, waelimishaji:
• watumie muundo mviringo
• unda kamati pana kushirikisha upangaji na utendaji
• badilishana mawazo na kamati na washikadau katika kuunda malengo ya kielimu
• tafuta uungwaji mkono mpana kuhusu mipango iliyabiniwa
Tuangazie Nadharia ya Kubuni Utaratibu
Taratibu mbalimbali zinaweza kutumika kuafikia malengo yaliyobainishwa. Changamoto ni kuchagua njia mkato ya kuafikia malengo hayo katika muda mfupi, kwa kutumia rasilmali chache na walengwe waelewe kwa kiasi kikubwa.
Kujifunza nadharia ya uundaji ndege mwanafunzi anaweza kusomea kazini, au azuru bomba la kupitisha upepe, au atazame video ya bomba to kupitisha upeo likifanya kazi, au kwa kujenga kielelelzo cha ndege akitumia mbao au asome kitabuni kuhusu nadharia hiyo. Mbinu hizi zote zinafaa, hata hiyvo waelekezi lazima wachague mkakati wa kutumia kutegemea wanayoyajua kuhusu wanafunzi wao, rasilmali zilizopo zikiwemo pesa na wakati, malengo yanayotarajiwa kuafikiwa na kiwango cha utendaji kazi kinachohitajika.
Kubuni mitaala kunahitaji matumizi ya nadharia ya Occam kuandaa utaratibu unaofaa. Hii inafaa sana ikiwa mradi utagharamiwa na serikali.
[1]
Matarajio ya wenye uwezo na ushawishi unaweza kuwa kizuizi sawa na imani kwamba kuonekana tu kuwa kuna mradi unatokelezwa ni muhimu kuliko kunawezesha wananchi kushughulikia mazingira yao ya kijamii na kisiasa.
Mradi chochote ujumuishe shughuli muhimu zitakazochangia kaitka kuafikia malengo Arkiziasiso muhimu zinazoweza kusababisha matokeo kutokana na ukosefu wa maarifa zisiingizwe katika utaratibu
Katika maingiliano ya ana kwa ana baadhi ya shughuli zisizo muhimu ambao hazisababishi mabidiliko ya tabia za watu ni kama vile: Mazoezi fulai ua michango na nadharia, mashindano au matangazo kwa ajili ya kujiburudisha na kufurahikia.
Maelezo:
[1] Occam's razor is a thinking technique that includes slicing up questions, usually asked by scientists, and reducing to their essentials the number of possible answers. This technique owes its origin to philosopher William of Occam (d. 1349), and to his saying, "Entities ought not to be multiplied except from necessity."