Skip to content. | Skip to navigation
Katika hali nyingi, madai imara kuhusu PR hutokana na jinsi mfumo huu unavyokwepa matokeo ya kipekee ya mifumo yenye ufuasi wa wengi na huwa unaweza zaidi kutoa bunge lenye uwakilishaji. Katika nyingi ya demokrasia, hasa zile zenye migao mikubwa ya kijamii, uwekaji wa makundi yaliyopo katika bunge huweza kutoa hali iliyokaribia umuhimu wa kuimarisha demokrasia. Ukosefu wa kuhakikisha kuwa walio wachache na walio wengi huwa na jukumu la kukuza mifumo ya kisiasa huweza kuwa na athari kubwa, kama vile kutafuta uongozi kupitia njia zisizo halali.
Mifumo ya PR kwa ujumla husifiwa kutokana na:
© 1998-2025 ACE project