Walimu wanaoanzisha nyenzo za kufundishia hukumbwa na matatizo mbalimbali ya kielimu na kibiashara. Utatuzi wa masuala haya unategemea uwezo wa walimu wa kutoa maelezo wazi wa vifaa vinavyohitajikana mada za mafundisho na utendaji zitakazo shughulikiwa.
Masuala ya Kielimu
Vifaa vya kufundishia lazima vidumishe viwango vinavyofaa kulingana na yaliyo na utendaji.
Kupatana na Matokeo Yaliyotarajiwa
Nyenzo zinapaswa kutayarishwa na navyotengenezwa viwe vinavyosaidia kuafikia malengo yaliyotungwa. Hata kama vimetengenezwa kwa minajili ya sura ndogo ya mradi, pana haja ya kuwa na malengo yatakayoegemezewa utathmini wa ufaafu wa vifaa hivi.
Kwa sababu hii haifai kuagiza vifaa vya kufundisdhia kabla ya kutunga malengo. Wakati mwingine kutokana na ubanifu wa muda, uagizaji wa vifaa hufanywa punde to baada ya kutunga malengo na kabla ya mradi mzima kuandaliwa. Lakini mtindo huu unafac kuepukika. Mra nyingi vifaa kama mabango, vifaa vinavyosikizwa na kutazamwa, vitamu huagizwa na vinapatikana kuwa zaidi ya uhitaji wa mradi nzima. Baadhi ya mashirika yamejaribu kutumia vifaa vinavyofaa kwa ajili vilikuwepo lakini kwa madhara ya mradi.
Hata hivyo hili liepukwe kivyovyote vile. Kuna mifano mingi ya mabango, nyenzo za kutazama na kusikiza, vitabu vya kusoma, na kadhalika vinavyoagizwa na hatimaye kugunduliwa kuwa ni ziada kwa mujibu wa vile vilivyohitajika kwa mpango wa mwisho. Mashirika mengine yamejaribu kutumia nyenzo zisizofaa, kwa sababu tu zilikuwepo kwa hasara ya mpango huo.
Kiwango Kinachofaa
Kiwango cha elimu ambapo vifaa hivi hutengenezwa siyo kile cha watakao vitumia. Huenda kutumika nyanjani na vikundi cha wanafunzi. Vifaa ambavyo lazima ilidhinishwe na kamati hukosa kuifurahisha kamati mbali na kuafikia matakwa ya wanafunzi.
Jambo hili huhakikisha kuwa pesa zipo, lakini haziwafaidi wanaohitaji mafunzo. Kwa sababu hii, wanoanzisha vifaa vya kufundishia wanapaswa kueleza kinga uga wanotarajiwa kuvitumia. Maelezo haya yawafikia walio na jukum la kidhinisha vifaa hivi kabla havijaonwa.
Kwa jumla, wanozisha vifaa vya kufundishia huwa na matarajio tofauti kuvihusu na huwa na uelewa tofauti wa kimsingi na tajaiba za maisha kutoka kwa wanafunzi. Huwa si wakilishi litakuwa jmabo la kuffa ikiwa vikundi vya wanafunzi vitabuniwa kutathmini vifaa hivi, sawa na majaribio ya mwanzo ya nyanjani.
Lugha na Ishara Zinazofaa
Vifaa vitumie lugha na ishara zinazofaa. Katika jamii zenye lugha na tamaduni nyingi, kutakuwa na matatizo kutokana na vifaa vilivyotafsiriwa kutoka muktadha mpana. Hata vifaa vilivyotengenezwa katika mataifa yaliyo na lugha na utamaduni mmoja, mchanganyo wa maneno na ishara utazua matatizo.
Vifaa hivi vinafaa kujaribiwa kaba matumizi yake kuidhinishwa. Pia kuwe na nafasi ya maonyesho kuvichunguza wakati vinapotengenezwa.
Matini Elekezi za Kufundishia na Miongozo ya kutumiwa
Vitabu na vifaa vya kufundishai vinapoanzishwa, huenda walimu wakapeana nakala tofauti za matini na ufafanuzi kwa mchapishaji, kwa matumaini kuwa wataunda chapisho lenye maelewano. Matumaini haya yajaribiwe na ikiwa kuna shaka, basi matini hizi zipeanwe katika umbo lake kamilifu au walimu wachunguze vifaa tangu hatua ya matayarisho hadi kabla ya uchapishaji waidhimishe waziwazi kwenye nakala ya majaribio kabla uchapishaji wa mwisho kufanywa.
Kuruhusu wataalamu wa elimu kuachia shughuli hii watu wasio na ujuzi kunatoa nafasi kubwa kukanywa kwa wanafunzi na walimu wao.
Kuongeza kwa uangalifu unaofaa kudumishwa wakati wa matayarisho na lewasi wa matini za kufudishia ni vifaa hivi kepeanwa kwa watu ambao hawakuvitayarisha au kishirikiashwa katika matayarisho bila ya kupata mafundisho kuhusu matumizi yake. Na mafundisho haya huenda yasiweze kufanyika ana kwa ana.
Mabango ghali yaliyotengenezwa kutumiwa katika mazingira fulani huenda yasifae katika mazingira mengine. Nakala ya kufundishia watakaokwenda nyanjani kufundisha tyakitolewa kwa wanafunzi wa kawaida hayatakuwa maana yoyote kwao.
Mara nyingi wataalamu wa elimu wanapoanzisha vifaa vya kimsingi walivyopokea kutoka kwa watengenezaji wawe. Wachapishaji, wandishi au waandalizi, hugundua kuwa wanahitaji kuwa na maelekezo ya kutumia vifaa hivyo. Maelekezo haya hudharakishwa kuchapishwa bile uangalifu kama ilivyokuwa katika nakala asilia.
Maalezo ya kuanzishia vifaa yatilia maasani vifaa vinavyohitajika kwa ukamilifu.
Umbo Linalofaa
Wataalamu wa elimu wanastahili kujua mapema kinachowezekana na kutumia habari hizi halisi za kazi katika kufanya mipango yao hawana muda au fedha za kupoteza.
Wakibainisha kuwa banog liwe la jambo fulani au kikunja cha kubebea vifaa vya kufundishia kiwe cha rangi fulani au uzito wa karatasi, na kuguundua baadaye kuwa malighafi hazipatikani au zinapatikan kwa kukatwa jambo linasababisha uharibifu mwingi, watakuwa wameshababishia mradi hasara kubwa.
Kuna maumbo ya vifaa yanayofaa kuliko mengine. Kuazishwa kwa miundo asili ifanywe kwa matumaini kuwa kusudi la mradi halitowi nafasi kwa matumizi ya muundo mwingine.
Masuala ya utendaji
Kuhusiana na utendaji, wataalamu wa elimu wanafaa kuzingatia:
Uwezo wa Kudumu
Makala yanaweza kuandikwa kwa ajili ya kusomwa mara moja na kutupwa. Karatasi inaweza kutengenezwa kwa njia inawezesha kusafishwa na kutumika tena au iwe yenye kueza haraka. Kwa upande mwingine makala yanaweza kusomwa na watu wengine mbali na aliyekuwa wa kwanza kuyapokea. Inadhaminiwa kuwa mwenye kupokea makala atayapitisha kwa marafiki zake, jama zake na hata majirani. Katika hali kama hii, inafaa karatasi iweze kudumu na kutumiwa kwa muda mrefu.
Mwongozo wa mafundisho utafunguliwa na kufungwa mara kwa mara. Utawekwa mazani au sakafuni na kuondelewa na vilevile utakaribiana na vyakula na vinyuaji. Karatasi inafaa iwe ya kudumu kwa muda mrefu.
Mabango yatawekwa nje au wapi? Na yatadumu kwa muda gani? Chati za kupinduliwa zinaweza kuwekwa kwenye mabasi au taksi za uchukuzi. Ikiwa hivyo, moja bada yatangoka au kurasa zitaanza kuchanika.
Usemekaji
Habari kuhusu vifaa vya kufundishia zinafaa zieleze matumizi yake na kiwango cah muda amboa vitadumu. Hali ya kudumu ya karatasi za kufungia vifaa hivi pia inastahili kutiliwa maanini ili kuhakikisha kuwa vinafikishwa hugharimu pesa, kwa hivyo, habari za maelezo ziwe zinazofaa vifaa vinavyodumu huenda vikaundwa kustahimili hali ngumu.
Usomekaji
Aina yoyote ile ya makala iwayo, itasomwa, yawe na maneno au mafafanusi yatakayotumiwa na watu wanaojua kusema na kuandika au ishara na ufafanuzi yatakayotumiwa na watu wasiojua kusoma na kuandika.
Ni muhimu vifaa vya kufundishia viweze kusomeka na kufahamika. Machapisho yenye waa, rangi zinazotirirka na kusababisha mazingira ya mbele ya nyuma kutoonekana vizuri, uchunguaji usiyofaa wa picha, mabango yaliyandikwa kwa hati ambazo ni sawa, ni baadhi ya matatizo yanayowakumba watalamu wa elimu wanaofanya kazi na kampuni za uzalishaji zisizokuwa na tajirba, na hata zile ambazo zina tajirba kiasi.
Uwekaji, usambazaji na urahisi wa kutumia
Vifaa vinapotika kwa mchapishaji vinafaa kusabazwa mara inagunduliwa kuwa bahasha vilimostahili kubebewa ni nyepesi sana, uamuzi wa kukuna mabango huharibu maandishi, mwandiko mrefu wa vitabu vya kufundishia au vya maeleze vina hatari ya kuporomoka. Masuala yanayohusu usambazaji yafikiriwe kabla vifaa havijatengenezwa (tazama Uwekaji na Usambazaji), lakini suala la upakiaji lishughulikiwa na wataamu wa elimu katika sura ya uanzishwaji kwa sababu huathini masula mengine yaliyo na uhusiano. Suala la uwezo wa kudumu kwa muda mrfu wa vifaa kupakia pia lizingatiwe. Idadi ya vifaa katika kifurushi kimoja ielezwe wazi vibandiko vinavyoonyesha uwasilishaji, usambazaji na maelezo vijumuishwe katika upakiaji.
Kutokana na sabubu hizi ni vyema kutumia mchapishaji mmoja ambaye atavikusanya, kuvipakia na kivhami kwa karatasi za kufungia – kwa njia sahihi.
Vifaa vinapofikishwa mahali vinapopelekwa, vihifadhiwa na watakaovitumia, na kutenezwa kwa matumizi ya mara kwa mara. Matumizi ya karatasi nene za kukunjwa au zisizo za kukunjwa zilizo sawa na mbao nyembamba, kuraba kurasa kubwa za kukujwa mara moja au pakacha zilizojaa karatasi za kubebewa Kenya gari ndogo za kusukumwa na letu lifanya watumiaji kuchukia utendaji kazi wa wasanii na kikundi cha wataalamu wa elimu badala ya kuvikaribisha na kuvifurahia.
Wale ambao inabidi wasafiri na vifaa huenda wakalazimika kutumia barabara badala ya ndege, magari ya kibinafis badala ya umma au kupeleka wanafunzi palipo na vifaa badala ya wao kwena walipo wanafunzi,.
Masuala haya hayawezi kushughulikiwa kwa njia ya kijumla kwa sababu hutegemea kiwachopatikana katika nchi fulani na kiasi kianchohitajika cha aina fulani ya vifaa.
Katika baadhi ya mataifa, vifaa vyenye uzito mwepesi kama vile vifaa vya kuhama vyenye makunjo au vifaa maalum vilivyobanwa kwa magamba au karatasi zilizofanyizwa zinapitinakana. Mataifa mengine hulazimika kutumia vifaa wanavyoweza kupata.
Vifaa vinavyotengenezwa view na uhitaji mfinyu wa usambazaji, viwezo kuchamishwa kwa maelekezo na kufanyizwa mahali vinapohitajika kutumiwa liweze kubebwa na mtu anayesafiri nchini au vibebwa katika sanduku moja na vifaa vingine vya uchaguzi.
Usalama na Ulinzi
Vifaa vinavyotarajiwa kutumiwa na wananchi wa wapiga kura na hara vijana vinastahili kuwa salama. Hili huenda lisitatize uchapishaji, lakini vifaa vya kuigizia na vya uonyeshano vitengenezwa kwa njia inaviwezesha kutodhuriwa na moto na visivyovunjika kwa urahisi.
Baada ya kushughulika suala la usalama, sala utenzaji na ulingi wa vifaa hivi ushughulikiwe. Isipokuwa vifaa vyakutimiwa kwa mafunzo ya hali ya juu, vifaa vya kufundishia vinakusudiwa kutumiwa na umma.
Hata hivyo, thamani ya vifaa hivi ni kuwa chanzo cha karatasi zinazosafishwa na kutumiwa tena jambo ambalo linazidi katika matafa maskini. Kutokana na uhaba wa raslimali. Tahadhari ichukuliwa wakati wa kutengeneza vifaa hivi ili kuvihakikishia usalama vinapowekwa. Vifaa vikubwa ambavyo huwekwa nje. Maberamu ya nguo yanayoninginizwa mahali ambapo yanaweza kuharibiwa, bidhaa zinazopelekwa kutangulia walimu ni hali zinazoweza kusabibisha hasara kubwa.
Masuala haya yanaonekana ya kushughulikiwa baada ya kupokea vifaa lakini yakishughulikiwa wakati wa matayarisho na utengenezaji, matatizo ya utenzaji yatapungua.
Masuala ya Mikataba
Kwa jumla, mchakato huu unajumuisha utayarishaji wa maelezo ya kiwa, barua ya makubaliano au maafikiano ambapo muuzaji wa bidhaa au huduma anakubali kuwasilisha bidhaa kwenye fulani zikiwa katika hali fulani, na mfumo wa kudhitia uanzishwaji huu.
Maelezo ya kina
Wataalamu wa elimu watatayarisha maelezo ya kina yanayohitajika. Maelezo yasikuwepo, washariane na muuzaji kwa misingi ya mswada wa maelezo na kyaimarisha baada ya msahihisho.
Maelezo haya yatakuwa sehemu ya mapatano kwa hivyo yawekwe wazi. Yasipokuwa wazi yatasababishwa mafarakano
Wauuzaji walio na tajriba huenda wa kawa na fomu za kuagizia au ya kupelekea wateja bidhaa inayojumuisha orodha kukagulia bidhaa zilizowasilishiwa zilizo na habari halisi za kiufundi zinazo hitajika. Walimu wasio na uzoefu wa lugha iliyotumiwa kuelezea habari halisi waombe kufafanuliwa wasichokielewa.
Mikataba
Mikataba mingi rasmi inaweza kutumiwa kama mifano ya wanonzisha vifaa vya kufundishia. Mikataba hii itimize mahitaji ya kisheria ya nchi ambamo imetayarishwa na kuwekwa sahihi.
Hata hivyo, hata tume ndogo zijumuishwe katika barua za makubaliano ambazo huwa na yafuatayo:
- Hueleza masharti ya makubaliano
- Bidhaa zinazohitajioka
- Malengo yanayotarajiwa kutokana na matumizi ya bidhaa hizo
- Viwango ambavyo lazima vitimizwe
- Siku ya mwisho ambayo lazima izingatiwa
- Njia za kushughulikia ugomvi wa hitilafu
Huenda wauzaji huenda wakapendelea kutumia aina zao za barua za makubaliano ambao huzitimua mara kwa mara. Ni nadra wataalamu wa elimu kufaya hivi, na huenda wamezoera majadiliano ya kusemezana tu. Mazoea haya yaepukwe isipokuwa palipo na kuaniminiwa kwa hali ya juu katika ya muuzaji na wanunuzi, wataalamu wa elimu wenyewe watayarishe na kukagua mikataba yoyote ya makubaliano.
Ikiwa haiwezekani kufanya makubaliano rasmi, maafikiano yanaweza kufanywa na seremala katika jamii kuchimbwa mashimo mawili ya kusimamishwa miti ya kuinginizia bendera, kuwe na ufahamu wa jinsi makubaliano hayo yalivyoafikiwa na kumbukumbu ziwekwe na timu inayosimamia mafundisho.
Mfumo wa Usimamizi
Jinsi mwelimishaji atakavyomudu mikataba na maelezo haya, yawe makubwa na rasmi, au madogo na yasiyo rasmi imejadiliwa katika Kumudu Mikataba.