Elimu kubuni mzunguko ni iterative kupanga chombo. [1] Mpangilio huu wa kielimu una hatua saba:
Kuweka kiini cha Mpango huo
Katika elimu ya upigaji kura na kwa umma kiini kimebainishwa katika jumla wake. (tazama Jukumu la Elimu)
Kiini ni muhimu kaitka kuweka mipaka ambamo uchanganuzi utafanyiwa. Hii husaidia waelekezezi kutojiachanganya. Kiini na malengo ni tofautu, na malengo lazima yabainishwe.
Kuelewa wanafunzi na mazingira yao
Waelekezi wanapaswa kuwa wa kuelewa mazingira ya wanafunzi hasa wanaotoka nje ya mazingira hayo na hata wenyeji wanafaa kujitathimini katika misingi ya changamuzi ya tafiti za awali. Changanuzi hizi zitavumbua habari za kimsingi na kuweka wazi mahitaji ya kielimu.
Kutambua Rasilmali Zilizopo
Pamoja na kuelewa mazingira ya wanafunzi, waelekezi wanafaa ujua ralsimali walizonazo ili kuweka malengo yanayoweza kuafikiwa.
Ni vyema malengo tarajiwa yaweze kuafikiana rasilmali zilizopo. Walekezi wanaweza kuzidisha makadirio ya yanayoweza kuafikiwa au watarajiwa kutekeleza yanayozidi uwezo wao. Marekebisho yafanywe wakati wa kuandaa utaratibu na wala si wakati wa utekelezaji.
Kuchagua Malengo ya Kielimu
Katika wakati huu wa kuratibu, waelimishaji wanapaswa kujadili kuhusu jumbe zinazoweza kupatikana, viini vinavyojitokeza, na kujenga malengo ya mpango yanayozingatia WARM: yanayofaa, yanayolenga matendo, yenye uhalisi na yanayopimika (tazama Malengo ya Kielimu). Malengo haya yamesukwa katika lugha inayomweka mwanafunzi katikati ya mpango huo.
Vielelezo vya kutathmini uafikiaji wa malengo
- Malengo ya kimsingi na ya Ziada. Katika mradi changamano malengo huwa kibungi. Malengo ya ziada huenda ili kukamilisha mradi. Haya huelezwa kuwa ni malengo mtu. K.M. “ Wapigaji kura katika mashambani kusini wataweza kujiamini kupiga kura,” wahitaji “ kufuata njia itakayowafikisha katika kituo cha kupigia kura” “ Waweze kutumia kalama,” na” kuelewa dhina ya vyma vya kisiasa katika demokrasia.”
- Mti malengo. Baadhi ya waelimishaji huchukulia mti malengo kama sura muhimu wakati wa kubuni mradi wa kielimu. Wengine huchukulia kuwa matokeo yanaweza kutambulikana kabla ya maingiliano na wanafunzi. Mti huu ni muhimu ikiwa mradi unaopendekezwa unategemea zaidi katika ujuzi wa hali ya juu.
Elimu kwa wapigaji kura na umma unahitaji ujuzi wa kiufundi na pia ni zalishi.
Wafadhili na washikadau kuhitaji maelezo ya awali kuhusu matarajio, na waelimishaji wanafaa kuelea matarajio yao kwa wanafunzi wao ambo ni watu wazima ambao wana haki ya kujua matokeo tarajiwa ya maingiliano na walimu.
Ni muhimu kuweka malengo yalioyoelezwa kwa uendani yaliyoandikwa kutumia lugha ymahusisi inayofaa.
Kimsingi wanaogemea upande wa kuanzisha au kuzalisha ujumbe wana nafasi nzuri ya kuelewa haya. Hata hivyo anawasiliano ya kwanza si muhimu bali mabadiliko katika maariga, tabia au msemamo wa mwanafunzi. Elimu inahusu mabadiliko sio tu kuwasilisha ujumbe kwa wanafunzi.
Kuratibu Mpango
Ikiwa malengo yatakuwa yamejengwa, waelimishaji wanapaswa kuanza mchakato wa kuratibia mpango huo. Mchakato huu ujumuishe mpangilio mpana unaozingatia kiunzi cha mfuatano wa matukio kimantiki.
Waelemishaji wengi wana tajriba ya kubuni mpangilio mpana kwa kikundi kimoja wanafunnzi, jedwali ya vipindi vya masomo ni mfano mpangilio mpana.
Mpangilio mpana. Huhitajika kwa kuradi ya kitaifa inayoelezwa kwa undani. Hujumuisha vipindi vya mafundisho kwa kozi zilizopanuliwa, makadirio ya shughuli zote zitakazoandaliwa na jinsi zitakavyofuatana. Huhusisha habari zote zilizokusanywa kuhusu elementi muhimu za mradi. Heigemezwa kwenye mkakati wa kielezo wa kijunda na hujaribu kupatana na rasilmali zilizopo bila ya kukuza au kupunguza mahitaji.
Mipangilio Midogo Midogo.Sehemu ya pili ni kuandaa mipango midogo midogo ambayo inaweza kulinganishwa na mpangilio wa funzo/somo na kwa vile huhusisha shughuli zinazochukua muda tofauti, mahali, mbinu, na hujumuisha vibadala vingi au Mikakati ya Kujenga Elimu, ambavyo kuviita mpangilio wa vipindi si sahihi.
Hii hufanywa kivyake mwanzoni kabla ya kuanza kwa mpango, na pia katika awamu ya utekelezaji. Kutumia utaratibu ulioelezwa kwa undani ni mchakato unaochosha, hata hivyo hupunguzwa au kudhibitiwa na athari ya mpango ulioratibiwa vizuri kwa wanafunzi na uwezo wa mpango wa elimu kuwatumia vilivyo waelimishaji na waunda nyenzo ambao huenda wakakosa tajriba pana ya kufundisha.
Waandalizi hujaribu kuhakikisha kuwa kila sehemu ya utaratibu hukubaliana na nadharia ya kusoma, kuandamanishwa na kinachojulikana kuhusu mwanafunzi na inaweza kuafikiwa katika muda uliotengwa, katika mahali mahususi, pamoja na waelekezi na rasilmali zilizopo za kifedha.
Mipango hii midogoo huandaliwa kabla ya utekelezaji kwa sababu huelezea baina ya vifaa vinavyohitajika kutengenezwa vifaa huma vya gharama ya chini na hujifunga kwenye kiwango na kuktadha unaohitajika na pia hutengenezwa katika umbo linalohitajika.
Ikiwa vifaa vipo na lazima vitumike k.m. vitabu, waandalizi wawazie njia bora za kuvitumia katika muktadha mahususi vitakapofaa. (tazama Kutathmini na Kuzingatia Nyenzo Zilizopo)
Utekelezaji wa Mpango
Kafikia hapa maandalizi yamekwisha, hii ni sehemu ya kutathmini mradi wa wanafundi kupata maarifa zaidi. Masomo mengine lazima yatekelezwe mara moja, ilhali mengine yatashughulikiwa baadaye.
Mradi wa kielimu huweza kuwa na sehemu ya majaribio ambapo vifaa huchunguzwa na kuvifanyiza, ni vyema mradi mzima awe wazi kwa ubainifu na kuufanyika ili kuafikia matokeo yaliyotarajiwa watathmini hupendelea liradi ushughulikiwa kama ilivyopangwa na kwamba mabadiliko yoyote lazima yaonyeshwe. Watu si wa kufanyiwa majaribio, mradi mzima au sehemu ispokidhi matakwa ya watu na ikiwa haufai kuafikia malengo unafaa kubadilishwa mara moja.
Kuthamini Mpango na Kuandaa hatua Inayofuatia
Baaday ya utekelezaji, andamo huingia katika kipindi cha utathmini kinachochangia kuelewa zaidi wanafunzi na mazingira ya na rasilmali zilizopo. Baada ya sura hii, andamo huanza upya.
Katika elimu kwa wapigaji kura na umman, audamo kama hii inaweza kutumika kuelezea mradi wakitaifa mbali na kuelezea sehemu ndogo ya mradi.
Huenda waelimishaji wa sehemu mbalimbali za mradi kutoka mashirika mbalimbali katika mfungamano wa kijumla wa mradi wakawa na tafsiri zao za andamo.
Katika mpangilio mpana mwelimishaji aliyetwikwa jukumu la kushughulikia wanawake katika mazingira ya kitovu cha jiji katika taifa la kisasa lazima aelewe mazingira yao, abainishe matakwa yao, aende malengo ya mradi huo mahususi, aandae utaratibu, autekeleze, autathmini na ama wao wenyewe au na wengine waandae miradi ya kielimu ya wakati ujao itakayoweza kukabili matakwa yao.
[1] Neno "iterative" hutumiwa kurejelea mchakato wa kuegemea upande mmoja, hatua moja inafuata nyingine, na ambao ni wa kiduara kwa njia Fulani.kuna nyakati ambapo hatua au fungu la hatua zinapaswa kurudiwa kwa kuwa kuna habari za kutosha au mabadiliko yamefanywa.