Umuhimu wa STV
Umuhimu unaoidawa kuhusu mfumo wa PR pia unapatikana katika mifumo ya STV. Pamoja na hayo, kama mkakati wa kuchagua wawakilishi, STV ndio unaonekana kuwa wa kisasa kati ya mifumo yote ya uchaguzi, ukiruhusu uteuzi, kati ya vyama na kati ya wagombeaji katika vyama. Matokeo ya mwisho hubakia na kiwango sawa cha usawazishaji, na ukweli kuwa mifumo mingi halisi ya STV ya wilaya zenye uanachama zaidi ya moja huwa ndogo kiasi kumaanisha kuwa uhusiano wa kijiografia kati ya wapigaji kura na wawakilishi unadumishwa . Zaidi ya haya, wapigaji kura huweza kuwa na athari kwenye miungano ya baada ya uchaguzi kama ilivyokuwa katika Jamhuri ya Island na mfumo huu hutoa vichocheo vya ukubalifu kati ya vyama kupitia kubadilisha nafasi kati ya vyama kupitia kubadilisha nafasi kati ya chaguo kati ya vyama .
STV pia hutoa nafasi bora katika uchaguzi wa wagombeaji huru wanaopendelewa kuliko katika List PR, kwa sababu wapigaji kura wanachagua kati ya wagombeaji kuliko kuchagua kati ya vyama (hata kama chaguo la orodha ya chama huweza kuongezwa katika uchaguzi wa STV; hili hufanyika katika Astralian Senate).
Udhaifu wa STV
Udhaifu wa PR pia hulingana na ule wa mifumo ya STV. Pamoja na hayo:
- STV wakati mwingine hutolewa lawama katika misingi kwamba uchaguzi wa upendeleo si wa kawaida katika jamii nyingi, na hudai, kwa kiasi kidogo, kiwango cha uwezo wa kusoma na kuhesabu.
- Utata katika hesabu ya STV huwa changamano, hili limetolewa kama mojawapo ya sababu za kwa nini Estonia iliamua kuuacha mfumo huu baada ya uchaguzi wake wa kwanza ,STV huhitaji urudiaji wa hesabu wa kila wakati kwa sababu hii, kura chini ya STV huhitaji kuhesabiwa katika vituo vya kuhesabia badala ya kufanya vile katika maeneo ya upigaji kura. Pale ambapo uaminifu wa uchaguzi ni swala muhimu, kufanya hesabu katika maeneo ya upigaji kura halisi huweza kuwa muhimu ili kuhakikisha uhalali wa kura na kutakuwa na haja ya kuchagua mfumo wa uchaguzi unaolingana .
- STV, tofauti na mfumo wa Closed List PR huweza wakati mwingine kutolea vyama vya kisiasa misukumo viwe na migawanyiko ya ndani kwa sababu wanachama wa chama kimoja huweza kushindana dhidi ya wenzio kwa ufanisi. Hili linaweza kuwepo ili kuimarisha siasa ‘zilazolengawateja’ ambapo wanasiasa hutolea wapigaji kura hongo.
- STV huweza kusababisha uwepo wa chama chenye kura za wengi na hivyo kushinda viti vichache kuliko wapinzani wao. Malta ilifanyia marekebisho mfumo wake katika miaka ya kati ya 1980 kwa kutoa viti vichache vya ziadi ili vipewe chama ikiwa hili lingefanyika. Mengi ya madai haya hata hivyo yameonyesha kuwa yenye utata mchache katika matumizi.Uchaguzi wa STV katika Jamhuri ya Island na Malta umeweza kutoa kiwango fulani cha uthabiti cha serikali halali zenye chama kimoja au viwili vikuu.


Australian Senate - Queensland (2007)
Each vote is not counted equally and the method of segmentation and the way in which the Surplus Transfer Value is counted distorts the proportionality and outcome of the election.
By way of example if you exclude all candidates in the 2007 Queensland senate election except the last seven candidates remaining )3 Liberal/NP; 3 Labor Party and 1 Green) in the counts and redistribute the vote as though the other candidates had not stood the Australian Green's Candidate, Larisa Waters, should have been elected instead of the Australian Labor Party third candidate.
This anomaly arose as a direct result of the method of segmentation used in counting the Australian Senate vote.
Analysis has demonstrated that using the Meek method and the Wright System the results of the election would more accurately reflected the voters intentions then the current system in use.
The current system of segmentation was designed to facilitate a manual counting process, sacrificing accuracy for a speedy count. With the use of computer aided counting the application of Meek or the Wright System is preferable. the Wright System is a linear exhaustive reiterative preferential counting method.
One transaction per candidate. if the number of vacant position is not filled then the candidate(s) with the lowest votes are excluded and the count is reset and started from scratch. All votes are distributed as a singe transaction proportionally to their original value without segmentation or distortion in the count. The estimated time in counting the Australian Senate election using computerized voting data varies between 1 to 3 hours.
More information.
Meek: http://en.wikipedia.org/[…]/Meek%27s_method#Meek.27s_method
Wright: http://en.wikipedia.org/wiki/Wright_system