Skip to content. | Skip to navigation
Vyama ambavyo kura zake huwa zimetawanywa kwa wingi hushinda viti vichache kuliko ilivyo kiyume chake, na vyama vikubwa huweza kupata vyama vingi vya ziada ambavyo hubadilisha nyingi ya kura za kitaifa kuwa na wanabunge wengi katika uwakilishaji. Udhaifu huu huweza kusababisha upinzani mkubwa dhidi ya matokeo na mfumo. Hata kama usawazishaji huweza kuongezeka kwa kuongeza idadi ya viti vya kujazwa kwenye wilaya zenye uanachama zaidi ya mmoja, hili hudhoofisha uhusiano ulipo kati ya mpigaji kura na mwakilishi Bunge ambao huwa na gharama kwa wale ambao wanaotetea wilaya zinazojibainisha kijiografia. Wilaya zenye uanachama zaidi ya mmoja wa kiasi cha wanachama 18 huko Thailand, kwa mfano, huwa katika kiwango cha juu cha kuweza kutawaliwa.
Kama ilivyo katika mfumo wowote ule ambapo wagombeaji wengi kutoka chama kimoja wanashindania kura moja, migawanyiko ya ndani ya chama pamoja na kutokupatana huweza kuongezeka. Hili linaweza kuwa chanzo cha siasa zenye miegemeo ya wateja ambapo wanasiasa huwahonga wapigaji kura.
© 1998-2025 ACE project