Licha ya kitengo kimoja kilichochukua mamlaka yote ya muhimu ya utendaji yaliyopo, ugatuzi wa aina fulani kutoka kwa uwezo wa kisiasa na kisheria au kutoka kwa udhihirishaji wa umilisi au vitengo kutegemea nafasi au ustahifu wa kieneo kutekeleza sheria huzingatiwa, wakati wa kujenga Serikali. Hivyo basi, inawezekana kutofautisha viwango tofauti tofauti vya ugatuzi wa madaraka kama hayo. Kuanzia kwa kuviweka pamoja vituo kama hivyo vyote katika mashirika ya kitaifa, hadi kwa ugatuzi wavyo katika vituo vya umma hali inayoviruhusu kujenga na kutekeleza kanuni za kisheria katika himaya yake.
Kwa mtazamo mwingine, kutumika kwa sheria si kwa njia moja. Hivyo basi kulingana na eneo kuna wanaobuni na wanaoimarisha kanuni za sheria. Katika nchi kuna mashirika ya kitaifa, mitaa, mikoa, idara, kimaeneo, huru na hatimaye ya jimbo yenye utenda kazi maalumu na wa kipekee kulingana na mfumo wa nchi.Utendakazi huu unaweza kuainishwa wa kawaida, kiutawala na kisheria, inayokubalika katika eneo nzima kwa mada kadhaa(ikiwa ya kitaifa) ama sehemu yake.
Kutoka kwa mtazamo wa juu-chini na kutilia maanani mpangilio wa mgao tofauti wa usimamizi wa maeneo, Serikali zinaweza kuainishwa kama kuu au za muungano, za kimaeneo au zilizojengwa kutokana na vituo huru mbalimbali, za ushirika, na za miungano.
Kwa kuwa karibu na mashirika ya kitaifa yapo ya kimtaa, nchi au mkoa na hata ya mamlaka za majimbo, nchi ya shirikisho ni mojawapo ya vyeo vya majimbo vilivyodhihirishwa kwa mtazamo wa kisheria na kisiasa. Kuwepo kwa pamoja huku kunadai kwamba wote wamechaguliwa na jamii, wana huru kutoka kwa wenzao na wana haki ya utenda kazi katika mamlaka yao. Inahusisha matawi mawili tofauti ya serikali yenye hadhi sawa, kwa upande mmoja kiwango cha ushirika na kwa upande mwingine kiwango cha majimbo ya mtaa. Katika ya kwanza kuna kanuni za eneo nzima zinazotolewa na kutumiwa na mashirika ya muungano na hivyo basi kutolewa kwa sababu ya wale wanaoishi mahali hapo kwa upande mwingine kuna kanuni za kimtaa zinazobuniwa na mashirika ya kimtaa kwa kutilia maananikatiba ya muungano ambayo inakubalika tu katika sehemu fulani la eneo la taifa na zina ukubalifu mdogo.
Mamlaka hayapo tu kati bali katika mikoa na kimtaa.Ina idara za kisiasa, kiutawala na kisheria katika mamlaka yao. Kusambazwa ama ugatuzi wa mamlaka ya kisiasa hushughulikia natharia ya usawazishi. Sifa hii haidai kuwa serikai haipaswi kutazamwa kama taifa nzima ya muungano. Hata kurejelea kwa hakika kitaifa au katiba ya muungano pamoja na kama mamlaka ya kitaifa ama ya muungano (kisheria, kiutawala ama kimamlaka) yapo, pia kuna serikali za mta, katiba na mamlaka(kisheria, kiutawala na kimamlaka) ambayo kwa hakika ni lazima ibadilishwe kwa katiba ya muungano iliyo na kanuni na vipengee vya muungano ama serikali ya kitaifa. Sifa hizi hujitokeza mara nyingi katika serikali za miungano. Hata hivyo, kunaweza kuwa idara zilizotengwa kwa sababu ya mamlaka ya muungano kwa mfano utawala wakisheria.
Mifano mingine ya nchi za muungano ni Ujerumani, Ajentina, Australia, Brazilii, Marekani, Meksiko, Nigeria na Venezuela.
Kwa upande mwingine, nchi ya maeneo ama huru ni aina ya shirika la taifa kupitia ambapo majukumu ya umma ya kisheria na ya kawaida huafikiana na mashirika ya kutegemea maeneo. Kwa njia hii, mataifa kama Ubelgiji, Uhispania, Ureno na Italia yamekuza maeneo yanayojitawala kikatiba, ambayo kwa mwelekeo finyu haifanani na nchi nyingine na zile za muungano au kimaeneo za umoja.
Kupitia kwa katiba ya kitaifa kuna mamlaka ya kati katika nchi yenye uwezo wa idara nyingine. Licha ya hayo, bila kudai kuwa inaweza kusemwa kuwa idara ya kufanya mpango wa kuunda katiba yao, kuna mamlaka mengine ya maeneo ama mkoa yenye idara nyingine na uhuru wa kisheria. Pia, hazina baraza la uwakilishi lenye azma ya kulinda mvuto wa kimaeneo ama kujihusisha na taratibu za kurekebisha katiba ama kuwa na sifa zozote zinazotambulika za mamlaka ya eneo.
Kwa sababu ya kuhodhi mamlaka na vilevile kuendelezwa kwa idara zinazoashiria kusimamiwa kwa umma na halmashauri za kitaifa, katika serikali hizo zinazojulikana kama kuu au za pamoja, mamlaka ya kisiasa huwa yamegatuliwa kabisa. Kila mtu aliye chini ya uhuru huo huzingatia hayo na ni halmashauri kuu au za kitaifa tu na hivyo, wanawajibika tu kwa mfumo wa kikatiba na kwa sheria zizo hizo.
Hata hivyo, kiwango fulani cha ugatuzi katika idara husaidia kwa umoja mitaa, maeneo, idara ama jimbo haipatani na nchi ya mamlaka ya kati. Licha ya hayo, kwa kuwa mamlaka ya kati ndio humiliki na kusimamia matumizi ya mamlaka hayo uhuru kamili haupatikani. Kwa kuwa mamlaka ya kitaifa huwa na mamlaka ya umma inaweza kusemekana kuwa huafikiana na natharia tovu. Bolivia, Kolombia, Ikwedo, na Ufaransa ni mifano ya Serikali za umoja.
Fauka ya hayo, kuna muundo wa mpangilio wa nchi: nchi ya muunganoambao muungano wa n chi wamejumuika.Uswizi ni moja ya nchi za kwanza. Hapa kulinda haki, uhuru na kujitawala kwa maeneo mbele ya mamlaka ya kitaifa kunaimarisha kiwango cha uhuru. Pia, nchi ni sawa na hivyo basi zina haki ya kujitenga na muungano wakati wowote.
Kwa upande mwingine, muungano wa nchi mbili huru au zaidi unanuia kukimu matakwa ya kiuchumi miongoni mwao. Inasimamiwa mara kwa mara na sheria ya kimataifa kupitia mikataba ama mapatano kama ilivyokuwa katika kisa olezo cha Umoja wa Ulaya. Inatokana na muungano wa nchi tofauti na kuambatanisha kanuni, pamoja na kuhusishwa kwa muungano na sheria. Mbali na hayo, mada za kiuchumi na kibiashara, mahali pengine ambapo muungano una mashiko ni yanayohusiana na utendakazi na miundo msingi ya mawasiliano pamoja na kitamaduni, kisayansi, msaada wa kiteknolojia na kufungamanishwa kwa usafi na mengineyo.
Ingawa kuna mashirika ya kijamii na kitaifa yenye uwezo tofauti mashirika ya kijamii yanaweza kutoa kanuni zinazotumika moja kwa moja katika sheria za mashirika ya kitaifa. Wakati mwingine, chaguo tofauti na kutumika kwa sheria za kindani inahitajika.
Kwa yakini kinachotofautisha nchi ya muungano na huru ama ya kati ni suala la ugatuzi. Na kati ya hizo na za kimataifa ni za awali zinapata msingi wao katika shirika la kitaifa la sheria ilhali za muungano zinategemea uamuzi wa sheria za kimataifa.
Kwa kuwa viongozi sharti wachaguliwa na vilevile mfumo wa kisheria zinategemea na muundo wa nchi ni muhimu kutilia maanani miundo tofauti ya mpangilio ambayo inaweza kutumia. Katika nchi ya muungano tunaweza kupata muungano (mwakilishi wa kisheria au rais na shirika la kisheria ikiwa na baraza la hadhi ya juu na ya chini) kimtaa na kitaifa au mamlaka ya kimkoa. Mamlaka haya yanatangazwa kupitia taratibu za kisheria, kwa sheria tofauti zinazokuwa na aasi zinazosimamia matayarisho ya uchaguzi, pamoja na mengine yanayosimamia kutatuliwa kwa mizozo ya kisiasa kimaeneo na kimuungano lakini huegemeakanuni zilizowekwa na katiba ya muungano. Hata hivyo, hiki si kizuizi cha kuruhusu shirika la kati kupanga uchaguzi na nyingine tofauti ya kitaifa kutatua mizozo inayotokana na mitaa, miungano na hata katika kiwango cha jimbo, shughuli za uchaguzi.
Mamlaka kuu katika Serikali ya umoja hupanga mfumo wa kisheria kwa uchaguzi wa kitaifa na, ikiwa hiyo ndiyo hali, mamlaka za kiidara na kimitaa ama mamlaka ya kimkoa. Ingawa kunaweza kuwa mamlaka nyingine za mtaa zenye jukumu la kusimamia mchakato wa uchaguzi, katika Serikali ya kieneo ama huru, uamuzi ambao asasi hizo pamoja na taratibu za uchaguzi za kitaifa na kimtaa zinazopaswa kuzingatiwa zimewekwa na mamlaka za kitaifa.