Waelimishaji watatumia maneno tofauti tofauti na vishazi kufafanua ujumbe wa kimsingi ambao unastahili kupitishwa kwa wakati wa elimu ya upigaji kura. Hii itaweza kujadili maudhui makuu ya mradi k.m au maneno ya kujitambulisha ya kampeni ya elimu upigaji kura. Kimsingi haya ni sehemu ya mambo ya habari za kielimu ambazo zinastahili kuwasilishwa kwa sehemu lengwa ya uwakilishi bunge.
Ujumbe huu unaweza kuwa mfupi wa kupitisha maneno muhimu ya elimu ya kawaida ambayo wananchi wanastahili kuwa nayo ili washiriki kikamilifu katika kidemokrasia, hata kama ni kwa uchaguzi au katika shughuli nyingine yoyote ya kijamii au ya kisiasa ua katika shughuli za kawaida za kwenda huku na kule katika jamii ya wengi ambapo wanahitajika kusaidia katika kutoa maamuzi ya kujingea misingi yao ya siku za usoni.
Kwa ujumbe, unaweza kuwahamasisha watu kuhusu ukosefu wa ujuzi ambao wanastahili kutafuta suluhisho zake. Kutokana na uhamasisho huu wanaweza kuonekana wakitoa mwelekeo wa mradi wa kielimu ambao huzingatia tabia, mienendo na uelewa, lakini waelimishaji ambao hutegemea sana kubuni ujumbe wa kielimu unaoharibu malengo ya kielimu wanaweza kupuuza vipengele mwafaka na ujuzi wa mradi wa kielimu dhidi ya ule wa kiakili.
Kwa kuwa ujumbe wa kielimu huwa muhimu katika kuendeleza mradi na pia hupatikana kwa wingi na kueleweka kwa urahisi wa kile kinachotarajiwa kuliko maelezo ya malengo kwa wale ambao hawajaelimika, ni vyema kuzingatia kwa makini wakati wa kuandika na kujenga:
- Hakikisha kwamba kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mahitaji ya kielimu ambayo yamefafanuliwa na ujumbe ambao umeundwa. Iwapo hili halitafanyika kuna uwezekano kuwa wakati na bidii havitatumika vizuri kwa kuanzisha miradi itakayofanyika mahitaji yasiyokuwa na umuhimu kwa wengi licha ya umuhimu unaoweza kuwepo kwa mwelimishaji.
- Unda ujumbe huu ili uwe na msaada wa makundi ya washika dau.
- Utathmini ili kuhakikisha kuwa kwa kweli hutimiza mahitaji ya mradi ya kielimu na ya wananchi ambayo mradi wa elimu ungependa kuwahudumia.
Kutoka kwa Maelezo ya Mahitaji hadi kwa Ujumbe
Maelezo ya mahitaji huelekea kufafanuliwa kwa misingi ya pengo kati ya inayotakikana na halisi. Kutokana na haya kuna uwezekano wa kuwepo kwa maelezo mengi tofauti tofauti. Waelimishaji wanastahili kutofautisha maelezo yanayohusiana na mahitaji ambayo hayawezi kutimizwa na maingiliano ya kielimu au watahitajika kuyaunda upya ndipo yaingiliane vizuri na mambo ya kielimu.
Baada ya kufanya haya waelimishaji watakuwa katika nafasi ya kuweka kwenye makundi na kupanga orodha ya mahitaji ili kubainisha uwezekano wa kuashiria mahitaji ya kielimu katika utaratibu wa mahitaji ya kiakili. Mfuatano wa mahitaji ya kiakili huwezesha waelimishaji kuandika maelezo yanayohusiana na ujumbe ambao huweza kuhusisha hadhira lengwa. Shughuli hii ni ya kisanaa zaidi kuliko ya kisayansi. Kutokana na sababu hii, waelimishaji huwa wanataka kutegemea muundo wa ujumbe wakishirikiana na wengine wenye tajriba katika masuala hayo.
Jukumu la Bodi Za Kiserikali
Tume ya uchaguzi na bodi za kiserikali huenda zikawa na mtazamo kuhusiana na ujumbe ambao lazima uwasilishwe na mradi wa kielimu. Kando na yaliyomo kwenye ujumbe, huenda pia wakatathmini hali ya ujumbe kuwa mwafaka, wenye kudumu na athari zake kwa kura wamepata habari kamili. Mitazamo yao huweza kuingizwa katika masharti ya kurejelea au maswali yanayoulizwa kila mara (FAQs) ambayo husambazwa kwa mashirika yote yanayojishughulisha na unaodidimiza ujumbe wa serikali.
Hata hivyo, wakati mwingine tume ya uchaguzi ya kitaifa huweza kuwa na mamlaka ya kuendesha elimu ya upigaji kura na huweza kuwa katika mstari wa mbele wa uundaji wa ushirika. Pia, huenda wakawa na jukumu katika kutathmini, kukubali na kusaidia ujumbe wa mradi wa elimu ya upigaji kura. Kati ya mashirika haya ya kielimu.
Jukumu la Makundi Lengwa
Ni muhimu kuhakikisha kuwa kila msomaji anakutana ana kwa ana na kundi la waelimishaji wakati wa kuanzisha kwa ujumbe. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia njia ambazo waelimishaji wataelewa athari za ujumbe huu kwa wasomaji. Kwa kuwa maelezo ya ujumbe hutumika sana kama ujumbe wa kawaida katika matangazo, au kama maelezo ya kukusanya usaidizi wa mradi kutoka kwa wahusika wa mashirika muhimu, na kwa kuwa wataunda msingi wa kuandisha kwa vifaa vitakavyohitajika kujadiliwa na waelimishaji na makundi ya hadhira lengwa. Makundi haya yanaweza kuchaguliwa bila utaratibu maalum kwa njia moja na amkundi makinifu, na ujumbe mwafaka unaweza kujadiliwa nao. Wanaweza pia kukutana na mashirikia ambayo yanaweza kuwasilisha kwa makundi ya wasomaji wakati wa mradi. Kwa mengi kuhusu mahitaji ya kielimu ya hadhira lengwa tazama Makundi Lengwa, Hadhira na Maeneo Bunge.
Mashirika haya yatakuwa na uhusiano na wasomaji ambao wangependa kukinga na mijadala ya ujumbe itakuwa ya umuhimu kwao. Kwa hakika inaweza kuwa wangependa kuhakikisha kuwa mradi unahusika na ujumbe ambao bado hawajauzingatia au wangependa kuondoa ujumbe fulani k.m Mashirika ya soko ambayo yameamua kutoa elimu ya upigaji kura kwa wafanyikazi wao yanaweza kuwa na haja kuhusu majadiliano yanayoweza kujumuisha mada ya upigaji kura na demokrasia mahali pa kazi au maamuzi ya kijumla. Au yanaweza kupendelea ujumbe ambao unasisitiza uwajibikaji wa wananchi kuliko kuhusu haki.
Huenda isiwezekane kuafikia matarajio youte ya wale ambao mradi utatumia kufikia wasomaji. Lakini katika mradi wa kitaifa, kuna uwezekano wa kuanzisha ujumbe ambao unaweza kuwafikia wengi, na kusababisha umakinifu wa ujumbe vile ulivyo, kwa mashirika yenyewe.
Jukumu la Makundi ya Waelimishaji
Kutetea mwelekeo wa mradi ambamo wengine huwajibika kutoa ujumbe haidhihiriki kama njia ya kuhalalisha kwa waelimishaji. Kwa hakika, usaidizi ambao makundi au watu binafsi watatoa ni muhimu. Ni hao ambao wataweza.
Majaribio yanaweza yakafanywa kwa njia mbalimbali. Kwanza, majadiliano tume za kiserikali, waelimishaji na makundi lengwa yataanzisha kitengo cha kwanza cha majaribio. Makundi makinifu yataunda kitengo kingine. Lakini waelimishaji watataka kufanya majaribio kwa ujumbe kupitia kwa matukio machache ya haraka ya kielimu. Matukio haya yatadhibitiwa kwa uangalifu. Wakati mwingine. Itakuwa vigumu kuendesha matukio ya haraka wakati elimu inaingilia kati kwa sababu siri imetoboka. Na pia haiwezekani kuwa waelimjishaji watapata nafasi ya kurekebisha makosa yatakayotokea.
Kwa hivyo, majaribio hufanya sana na kundi ambalo limehamasishwa (yaani, washiriki ambao wa meelezwa kushiriki katika majaribio) kwa hivyo wanachunga sana wavyoshiriki kwa hivyo hawawakilishi kikamilifu lengo lenyewe. Hata hivyo, makosa makuu yanaweza kutambulika.
Makala ya Ujumbe
Wakati ujumbe umekubalika na kufanyiwa majaribio, makala yanahitaji kuundwa, ambayo yataunganisha na kuufanya ufikie makundi yote husika kwa umbo lilo hilo na yayo hayo yaliyomo.
Tofauti katika nakala ya mtayarisho zinaweza kuwa na athari kwa makundi yaliyo na mushkili, na kutokea tena kwa makala ya matayarisho badala ya muundo uliokubaliwa unaweza kuleta utata kuzingatia uhusiano kati ya malengo ya mradi, ujumbe na uelimishaji. Wao hao ndio watakaochunguza uhusiano kati ya mahitaji yaliyotolewa na uundaji wa maelezo ya ujumbe.
Watawajibika hasa kwa ujumbe huu wakati mradi utaanzishwa na kwa haya wataweza kuwaelezea wengine na kupitisha ujumbe kwa wale watakaotoa huduma na vifaa.
Majaribio
Wakati ujumbe umeundwa ni muhimu kuufanyia majaribio. Majaribio ya ujumbe yameundwa kubainisha.
- kwa kiwango kipi unaeleweka na uko wazi
- kwa kiwango kipi unahusisha
- kwa kiwango kipi unaweza kueleweka kwa wasomaji na kupitishwa na waelimishaji.
Wakati ambapo ujumbe umeundwa lugha moja, ambayo huwa kawaida kuwa ivsa vingi itakuwa muhimu kuelezea iwapo dhana zinazoelezwa zinawiana. Uwiano huu utahitajika iwapo vifaa vitatolewa. Lakini pia, utafanyika kila mahali wakati wasomaji wa lugha tofauti watahamasishwa kuhusu ujumbe. Itakuwa bora kufanya majaribio kuhakikisha kuwa uwiano huu wa kila mahali unatoa dhana sawa au pengine itakuwa tofauti.
Mwisho, majaribio yanahakikisha kuwa maelezo ya ujumbe yako wazi katika mawasiliano sahihi ya ujumbe wenyewe (k.m kura yako itachangia) na katika kiwango sawia cha ujumbe huu.