Kama ilivyodokezwa katika Wapigakura waliotengwa na makundi yaliyo na mahitaji maalumu, patakuwepo na vitengo vingine vya uchaguzi ambavyo vitahitaji uzingatifu maalum. Baadhi ya makundi haya huwasilisha changamoto halisi, huhitaji mielekeo maalumu, na wakati mwingine huhitaji nyongeza ya tahadhari za kiusalama. Uzingatifu huu umejadiliwa sana katika;
- Kutafuta vikosi vya polisi na majeshi
- Elimu kwa wafungwa
- Engaging Apathetic Kushirikisha Makundi and Disempowered Groups
- Reaching Nomad and Isolated Groups
- Communicating with Exiles, Refugees, and Internally Displaced Persons
Habari za ziada unapofanya kazi na majeshi, idara ya polisi na wafungwa inaweza kupatikana na kwenye Elimu katika taasisi funge (Education in Closed Institutions) unapofanya kazi katika maeneo yaliyotamalakiwa na siasa na yanayoweza kuwa na visa vya vita imejadiliwa katika Education in Unsafe Areas.