Ni vyema mradi changamano unaoshikizwa na masharti ya uchaguzi kushughulikiwa na muungano wa vikundi mbalimbali vya waelimishaji. Lazima kuwe na maelewano mazuri baina ya vikundi hivyo sehemu hii inashughulikia viambajengo vya vikundio, ushirika na washika dau wengine na shughuli za kuunda kundi.
Umuhimu wa kuanzisha na kuunda kikundi
Kuanszisha kikundi kunahitajika kufanywa mapema. Iwe shughuli ya kwanza kufanywa na wandalizi au manufaka.
Baada ya kuunda kikundi, juhudi zifaywe kikiendeleza kikuundi xha waelimishaji kitafanya kazi katika hali ambapo kutakuwa na mashauriano ya mara kwa mra kuhusu dhima na majukumu yao, na maingiliano baina yao na vikundi vingine katika muungano na mashirika yanayotekeleza mradi ni muhimu sana.
Kutokana na uchache wa muda, kikuudi hicho kufanya maamuzi muhimu na inafaa wanachama waelewe mkakati na malengo ya mradi.
Vikuundi hivi huleta pamoja watu ambao hawajawahi kufanya kazi pamoja hapo awali. Huenda wamewahi kushirikiana hata kama wanatoka katika mashirika tofauti. Ni vyema kuwafanya wasahau tofauti zao na kuunda ushirika mpya.
Wanaowazisha kikundi huenda wakadhabi kuwa wataurida kikundi cha jinsi moja jambo ambalo si rahisi.
Tofauti
Kikundi cha namna mbalimbali huwa na manufaa mengi kwa mradi. Kwanza, tofauti za usuli wa wanachama huchangia kuleta pamoja ujuzi natajaiba mbalimbali ambayo ni muhimu kwa mradi. Utofauti huu huchangia katika kudhibiti mafarakano na kuzidisha ubunofy wa mradi.
Pili, umbalimbali hiuu unawezesha jamii mbalimbali kufikiwa kutokana na lugha inayotumika, usuli wa tajriba ya kazi. Kufikiwa huku kunaweza kuwa katika kuelewa jinsi jamii funali ianavyosoma au kuingiliana na jamii katika mazingira yake. Hii ni muhimu palipona uaminifu, ustahilifu wa kuaminika na haki.
Mwisho, kikundi chenye wanachama kutoka usule mbalimbali huchangia ukubalifu na utambulifu wa umma. Kuna mataifa machache ya jinsi moja. Jinsi zao mbalimbali zinafaa kuonyeshwa katika kikundi cha wahamisishaji . Hata hivyo, mataifa ya jinsi moja kuna masuala ya matabaka, jinsia / uana na maeneo ya kijiografia ambayo lazima yatiliwe maanani.
Kikundi cha wahamisishaji kilicho na wanachama kutoka usuli mbalimbali huonyesha sura ya jamii, jambo linaloendelezwa na mafundisho.
Ushirikiano
Elimu maalumu inahitajika kuwezesha wanachama wa kikundi kuaminiana. Elimu hii pia inahitajika katika ushirikiano na mashirika mengine au viwango tofauti katika shirika mjoja liliorendwa kwa ajili ya kuendeleza mradi. Uendelevu ni muhimu katika dhima ya aina hii kutokana na uendelevu huu, mtu mmoja anaweza kuchaguliwa kuwa msemaji wa kikundu au kufanya maamuzi kwa niaba ya kikundi. Ukosefu wa kuaminiana na mawasiliano duni ni kizuizi kwa ufaafu wa mradi na kuenda kikundi kikatumia muda mwingi katika kutatua ya mahusiano baina ya wanachama.
Zoezi la Kujenga Upamoja
Kuna mazoezi kadhaa ya kuendea vikundi yanayofaa kwa kuanzishia vikundi vya uhamasisho. Mazoezi haya yazingatia yafuatayo:
- hakikisha kuwa wanachama wote wanaelewa sawa wa kanuni na malengo ya kielimu ya mradi
- uelewa mzuri wa mitindo ya wanachama wengine wa kikundi na uwezo na udhaifu wao.
- kujitolea kusaidiana kuboresha udhaifu huu na uendelevu wa kibinafsi kipindi chote cha utekelezahi wa miradi
- uwazi / uangavu kuhusu masuala ya kijumla ya uongozi / utawala na mbinu za mpangilio