Elimu ni shughuli inayonawiri kutokana na uvumbuzi na mabadiliko. Kwa kuwa wasomi na mazingira hubadilika kutoka tukio hadi tukio na kwa kuwa elimu bora inapaswa kuleta mabadiliko kwa kila anayeisoma, kuna mazoea miongoni ya wasomi ya kuelekea kupuuza haja ya kujenga uendelezwaji wa kutoka shughuli hadi nyingine.
Raslimali Zinazoendeleza Kupungua
Miongoni mwa matatizo mengine ambayo yamesababishwa na hili, limekuwa ukosefu wa watu wa kuendesha elimu kwa watu wazima katika mazingira ya elimu kwa raia na wapigakura. Isitoshe, kuna uwezekano finyu wa kuhamishwa kwa maadili bora na mafunzo yaliyosomwa pamoja na raslimali iliyopatikana kutoka kwenye uchaguzi mmoja hadi mwingine. Ni la kumbukumbu wakati kina cha habari kinapenyaza hadi kwa ratiba ya dunia. Mamlaka ya upigaji kura ambayo imefaulu kujenga uendelaji wa ratibu hupitia kudurusiwa, kuendea kwa dhamira na mipango ya elimu,utekelezaji na urejeleaji wa mitazamo ya elimu.
Kuweka Kumbukumbu ni Muhimu
Uendeleaji huwafikia kwa kuweka kumbukumbu, hivyo basi kuwezesha watu kufikia wale wa tajribu. Uendeleaji mwingine hutegemea kati ya mikakati na ukuzaji wa mafunzo usoni.
Kuanzisha Taasisi Zinazowajibika.
Kwa hili kutimia, nchi kadhaa ni lazima ziwajibishe halmashauri za kusimamia uchaguzi au sekta nyingine za kiserikali kutekeleza mpnago wa elimu kwa raia na kwa wapigakura. Urusi, Ukreni na Meksiko ni miongoni mwa mifano michache ya nchi zilizo na mashirika ya kudumu ya kusimamia uchaguzi ambayo yamepewa mamlaka kisheria kuendesha shughuli za elimu kwa wapigakura na raia. Mashirika kama hayo yanaweza kuwa na wafanyakazi wachache, lakini kuwepo wa sihirika kama hilo kutamaanisha kwamba maswala mengi ya kutunza rekodi na jumla ya taratibu za utendakazi yaliyoelezwa kwa kina katika sehemu hii yanaweza kutolewa kwake bila hofu kwamba ujuzi unaohitajika katika mpango huo utapotea. Ni ujenzi wa mashirika kama haya kwa kusaidiwa na serikali, bila kuzingatia uwezo wa mashirika ya kijamii – ila tu pale itakapokadirika kuwa shirika la kijamii litaweza kuyamudu mashirika haya – kwamba waelimishaji wanapaswa kutilia makini wanapoweza kuona mbele ya majukumu yao ya karibu.
[1]
Maelezo:
[1] Jamii nyiingine zinaweza kuamua kujenga mikakati ya ufadhili itakayowezesha mashirika ya kijamii yanayokuza demokrasia kupata ufadhili kutoka kwa serikali bila kuandamwa zaidi na serikali; nyingine zinaweza kubuni mashirika ya kisheria au kutoa majukumu haya kwa halmashauri ya kusimamia uchaguzi au idara zilizopo za serikali. Lolote litakalochaguliwa, kutakuwa na haja ya kuweka tofauti kati ya kukuza demokrasia na serikali ya kidemokrasia, na uendelezaji wa serikali fulani iliyo mamlakani kwa wakati huo.