Kushirikiana na watu au vikundi vya watu waliotengwa, au wanaokumbwa na aina zote za ubaguzi ni jukumu la muhimu na lenye ugumu kwa mwelimishaji.
Wakati mwingine makundi haya yanajulikana tu kwa wenyewe na kwa wakili wengine au vikundi vilivyoibuka kutoka kwa makundi hayo au yana haja kuu ya kisiasa, haki au ustawi wa makundi. Wakati mwingine, jamii imeumbwa kwa namna ambavyo kujaribu kufanya kazi hivyo basi kuleta viziuzi kutoka kwa jamii ya wenye mamlaka.
Wanaofanya kazi katika jamii zilizo na mpangilio wanaopinga ubaguzi au utengano hujipata wakinufaika. Taratibu hizi zinaweza kuwekwa katika katiba au kwenye taasisi za utamaduni na dini. Ambapo mpangilio huu haupo, waelimishaji watatafuta na kuelimisha watu kuhusu mipangilio inayowezekana ambayo inaweza kuwa halali au kukubaliwa, na vikundi vilivyobaguliwa, au kutengwa, au na sehemu kubwa ja jamii.
Kwa mfano, waelimishaji watatazama katika makubaliano na maelezo ya haki za kibinadamu za kimataifa, kwa maelekezo ya kimaeneo na mikataba, au kwa tamaduni za ndani na kwa utafsiri tena na nakala muhimu.
Katika mataifa mengine, wale wanaoonyesha mielekeo bora ya kuwahusisha wote, kutobagua, liwe ni katika misingi ya kihistoria, ngano, au ya nyakati za sasa. Watachochewa.
Waelimishaji kwa hivyo watapata namna za kubuni mbinu ya kusaidia makundi kama hayo, na kuenda wakatambua kuwa mbinu hii pamoja na mielekeo inayoiongoza, lazima yenye msingi wa mfumo wa elimu. Nyanja za mada hii hutoa hoja kuwa elimu inastahili kuwa zoezi la kupeana uwezo kama ni ya kuwezesha kukuwa na mabadiliko na hivyo waliobaguliwa na kutengwa watakuwa wa kwanza kuhusishwa. Lakini, kusaidia uwepo wao, hasa pale wanapoanza shughuli za uwezo wa kisiasa wakitafuta jukumu la uma, elimu pia itaegemezwa kwa waliopinga uwezo wao.
Kuna gharama ya kubaguliwa na kutengwa, na hizi gharama, mara nyingi hufafanuliwa na kuchanganuliwa katika elimu hii kwa mfano, utengano huzua umaskini na ulegevu ambayo mwishowe huwa na athari kwa jamii kubawa; ubaguzi huzua migogoro katika jamii na huwatenga watu wengi walio na uwezo mkubwa kutoshiriki kikamilifu katika maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo mielekeo hii ya mawazo kivyake huwa haitoshi.
Kutokana na hayo, nyanja kubwa ya nji za kielimu na miradi imeanzishwa, hasa na taasisi za haki za kibinadamu, imani yenye misingi katika vikundi vya utetezi na mashirika ya wanawake.