Changamoto zinazowakumba waelimishaji kutokana na amkundi ya waliotengwa au wafugaji wa kuhamahama ni kuwafikishia ujumbe katika lugha na mbinu za kuwasiliana ambazo wanaweza kuelewa na kukubali.
Kutengwa
Hali ya kutengwa huzua changamoto chache wakati makubaliano yamebainishwa. Makubaliano haya huenda yakahitaji redio, au kuleta vifaa katika maeneo ya kutangazia au kusambaza habari wakati mwingine, mbinu za kufikisha huduma za serikali – afya au huduma za biashara kama usambazaji wa chakula huenda zikatumiwa. Kwa njia hii, upangaji wa vyakula ambao umechukuliwa kueneza ujumbe wa elimu wa upigaji kura huenda ukawa na maana.
Vile makundi yaliyotengwa yanaweza kuwa madogo; gharama itasawazishwa na idadi yao na umuhimu unaodhamiriwa wa kisiasa. Lakini mbinu ya kufanya maradufu huenda ikapunguza gharama na kuwezesha huduma bora kwa watu.
Wafugaji wa Kuhamahama
Makundi ya kuhamahama yanaweza kuzua matatizo kwa sababu ya uhusiano walionao na taifa Fulani. Ikiwa uhusiano huo una misingi mizito, makundi kama hayo yanaweza kusafiri hadi maeneo ambapo uchaguzi unafanyika na ambapo habari kuhusu elimu kwa wapigakura inatolewa. Ikiwa uhusiano si mzuri, mbinu zinazohusiano na suala hilo zinaweza kubuniwa. Nyenzo ambazo zinaweza kubebw, na ambazo zimeandikwa kwa lugha husik zinaweza kutayarishwa. Mafunzo kwa jamii zinazohamahama na waelimishaji ambao husafiri wenyewe ni suala muhimu.
Hata wakati watu katika jamii zinazohamahama wanapoamua kutoshiriki katika siasa, ni rahisi kutupilia mbali uamuazi huu badala ya kuhusisha jamii pana katika siasa za kutenga. Uamuzi itabidi ufanywe kuhusu ni nini kinachofanya watengwe katika jamii. Hata hivyo, itawabidi waelimishaji kutahini suala hili kwa makini na kuchunguza mapendeleo yao na machukulio kabla ya kuamua kuwa hatua ya kuelimisha si lazima.