Mjadala kuhusu mkao wa awamu ya mwisho ya kuratibu ripoti, na mwindo, hadhira, mwili na watu ambao wanawajibikia uundaji mwafaka wakati wa mipango ya sura za kwanza za uratibu wowote. Wakufunzi wanawajibu kwa vikundi vyao. Mamlaka ya upigaji kura, wahisani au wafadhili, wa umma kwa jumla kuripoti kuhusu rabita baada ya kuisha.
Kuna mifano ya sheria ya upigaji kura ambayo hudhibiti muda wa kuandaa ripoti baada ya upigaji kura ambayo hudhibiti muda wa kuandaa ripoti baada ya uchaguzi, na muda wa makataa zinazofadhiliwa na kikundi kwa niaba ya mamlaka ya upigaji kura.
Iwapo Imemalizika Basi Imechelewa
Wakati mbaya wa kutia kwa ripoti ni baadaye ya kuishi kwa mikakati ya elimu. Wakati huu, usisimwaji wa ripoti upo chini, taarifa inayohitajika haipo kila wakati, na maafisa ambao maoni yao yanahitajika wameshangana na ni vigumu kuwafikia. Kwa kuongea, wali wanaowasiliana mikakati ana kwa ana au kushiriki katika kutangaza inaweza kuwa imetoka na hisia za baada ya mikutano au miundu durusiwa, au mwendeleo wa kudurusu hadhira, uhusiano baina ya hawa na ripoti kamilifu itakuwa haina uwazi. Taarifa nyingi, ambayo kutokana nayo kidogo inaweza kuwa kuhimu kulingana na ripoti kamili, ,hahitagi kueleweka. Na hivyo basi kupoteza muda ziada na nguvu.
Kujiandaa kwa Ripoti
Kwa kubainisha katika kiwango cha kwanza kwamba ripoti itahitajika, afisis itapewa uundaji wake na kuanza kufunga mahali muhimi pa kupata taarifa na kuripoti. Watajadiliana pia na wale ambao ripoti inahitajika kiufupi kimatatajio na jinzi ya kutumia au kuweka waza kwa umma.
Dhamira ya ripoti kuwa wazi mwanzoni. Kama ni historia ya mikakati, kwa mfano, makala ya kila siku kuanzia kifupi virejelewa au fikira za asiyeshirikishwa. Kwa matukio mmengine, kunawezakutoka haja ya kuacha ripoti kwa wale wanaowasilisha mengine, kunawezatokea haja ya kuacha ripoti kwa wale wanaowasilisha tathmini za nje lakini kioja mwafaka ni kwa watathmini kuwa na ripoti ndani kama sehemu ya kumbukumbu.
Kwa sababu ya muundo wa masomo, ripoti zinatarajiwa kupeleza na kuwa na taarifa ya ziada kufanikisha wakufunzi na usoni kuelewa maudhui ya wakati mkakati ulifanyika, na ipeane habari mwafaka ya kurudisha kwa minajili ya maendeleo ya vipindi.
Aina ya Ripoti
Kuna aina za ripoti nyingi ambazo zimefanikisha uelelezi wa ratiba kueleza kimasomo. Wanatumia sauti pana kutoa mitazamo tofauti kuhusu katiba, onyo na mafikirio kutoka kwa wahusika, wanafunzi wa kawaida, wapangaji na watekelezaji. Ripoti komedia inafanikisha msomaji kurejea ratiba na kutumikiwa na umma kama kumbukumu.
Ripoti ni lazima ziandikwe katika njia mbadala za kuweka rekodi na hadithi zimetumika; Na zina manufaa kwa kuteka hisia na utu wa ratiba na kutoa kwa umma kwa njia ambazo zinaeleweka.
Kumbukumbu za picha, video na sauti hutengenezwa na kuchapishwa kwa magazeti hutoa rekodi ya kutumika kwa jumla na hadithi za kiufundi zinazohitajijka kwa makumbaliano ya hadithi.
Ripoti itaangazia angalau huangazia vipengele vifuatavyo vya shughuli:
- Muktadha ambamo shughuli hiyo iliundwa na kutekelezwa (tazama Kutathmini Muktadha)
- Mikakati iliyotumika (tazama Ujenzi wa Mikakati ya Kielimu)
- Majukumu na malengo ya shughuli hiyo (tazama Malengo ya Kielimu)
- Makundi lengwa ya shughuli hiyo
- Njia ambamo shughuli hiyo ilitekelezwa (tazama Shughuli ya Utekelezaji wa Elimu kwa Wapigakura)
- Athari ya shughuli hiyo na kiwango cha kufaulu kwake katika kuafiki malengo yake (tazama Kupima Athari)
- Matokeo ambayo hayakutarajiwa (tazama Umuhimu wa Kupanga Mapema)
- Mafunzo yaliyosomwa kufanikisha shughuli za siku za usoni (tazama Makala kuhusu Maadili na Mafunzo yaliyosomwa)
- Ufadhili ukijumuisha uwazi
- Ukusanyaji na uhifadhi wa rekodi (tazama Utunzaji wa Rekodi)
Ripoti zinazoundwa baada ya tukio na kucheleweshwa kwa ukosefu wa maafisa, taarifa na fikiajia wa vyama husika, zaweza kuhatarisha uwekaji wa rekodi ya tukio lakini kuwa na mandhari kwa ripoti itakayoundwa.twaweza kujadili kwamba ripoti kama hizi hunufaika na matokeo yanayokuja na wakati. Hata hivyo ripoti kama hizi huwa za zoezi hilo
Ripoti hizi hutegemea kwa uzito rekodi,kumbukumbu.nakala.muda na kial siku, wiki, mwezi au robo ripoti kama haya haijatengenezwa hau hata ripoti ya kuchelewa huwa kwa hasara na vile inavyochelewa ndivyo ugumu unatoka kwa kutoa rekodi halisi.
Uwazi na Uwezo wa Umma Kufikia Raslimali
Njia yoyote ripoti hupokewa, hata ukutanisho wa ripoti tofauti ni vizuri ripoti za ratiba ya masomo kuwekwa wazi kwa washikadao wote. Mjadala wa vile utoaji na uundaji wa ripoti wafaa kuendeshwa wakati mmoja. Ndiposa mkataba uwepo ambao hauvunjwi na uwoga wa maudhui ya ripoti.
Ikiwa kuna uaminifu kwamba ripoti zina matakwa ya kisiri ambayo hayafai umma, basi kuna njia mbadala kadhaa kwa wakufunzi. Ripoti ya umma inaweza kutengenezwa pamoja na kumbukumbu fupishwa kwa washika dao kwa wingi. Ripoti inawezatenganishwa kwa ile ya kisiri na ya kufikiwa na kila mtu. Ripoti inaweza husisha kingele kinachoshughulika maswala ya kisiri, lakini huondolea kabla ya kutoa kwa umma. Ama iwe na tarehe ya kutolea ili kuzingatia maswala ya kisiri. Mwisho, washika dau wakimsingi wanaweza kupendelea kutoa ripoti za matarajio ya umma na kuhusu wao kikubwa. Haya kuwaasha uundaji wa ripoti mwafaka mwishoni yenye taarifa muhususi ripoti hutoa mafunzo muhimu kwa umma wote na wanafunzi pia.