Mipango ya elimu kwa raia iliyo rasmi ambayo inaazishwa katika shule za serikali zilizopo imekuwa muhimu sana katika Mashariki mwa bara la Ulaya katika utoaji wa mfano wa kurejelewa na kukubalia nchi hizi kuimarisha demokrasia ambazo ziliasisiwa nchini Urusi iliyoporomoka na uvunjikaji/uangamiaji wa mataifa ambayo yalijikimu kutokana na utegemezi wao kwa muungano wa mataifa ya Urusi.
Katika baadhi ya nchi, mipango hii ilikuwa muhimu katika utambuaji wa haja ya masomo ya juu kwa walimu na mabadiliko katika mitalaa na mifumo ya shule. Pamoja na hayo, mara nyingi mipango hii huwa inafanya kazi katika kipindi kinachofuatia elimu isiyo rasmi ambayo inaendeshwa na mashirika ya kijamii katika kipindi cha wakati kinachotangulia na vilevile kinachohusu mabadiliko ya kidemokrasia.
Katika miaka ya mwanzoni baada ya mabadiliko ya kidemokrasia, kupata fedha na vifaa vya kuendesha elimu kwa raia nje ya mapato ya kawaida ya serikalini rahisi sana. Wakati ambapo demokrasia iliyofaulu inapoanzisha siasa za kila wakati, uhamasishaji wake upungua. Kwa hivyo utaasisishaji wa mapema ni muhimu, lakini utaasisishaji huo mara nyingi hutatizwa na upungufu katika taasisi kama vile shule, mahakama, na mashirika ya kijamii. Kwa hivyo waelimishaji wa raia lazima wazingatie kwa makini ujenzi wa nguvu za taasisi za kinyumbani – katika usimamizi, utawala, na idadi ya wasomi wake, na katika ujuzi na taratibu za utenda kazi ambao unapuuzwa na demokrasia zilizoimarika.
Mitalaa mara nyingi itahusika na masuala ya ujenzi wa taifa na hata inaweza kutaka ufutiliaji mbali wa makundi ya kijamii ambayo yamehusika katika upiganiaji wa demokrasia. Mielekeo hii ni ya kiasilia lakini isiyo dumu kwa demokrasia pana na sera ya maendeleo ambapo nguvu za wananchi ni muhimu. Inawezekana kuunda nafasi ya katikati ambayo utezi wa kidemokrasia unaweza kubadilishwa na kutazamwa kama nia ya raia katika taifa la kidemokrasia.